Wakuu hii ni software gani (logo designing)

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
nashindwa kuelewa hii interfere Ni ya software gani
Screenshot_20220821-090719.png
 
Picha haionekani vizuri, nimecheki insta video zake nimegoogle imekuja Corel Draw.
Aisee hata Mimi nilidhani Ni Corel draw nikagoogle interface yake nikaona Kama iko tofauti.

Nataka kujifunza hii kitu. Maana naona wengi Sana wanaotengeneza reels za monochromatic logos wanatumia lakini nashindwa kujua Ni software gani.

NilimuDM mzungu mmoja akanikaushia. Mkuu confirm kamani Corel Draw nataka niingieclass onlineniimaster
 
Kwa muonekano ni Vector based mkuu,

Nikagoogle menu za juu, angalia picha uliyoweka juu imeanza na Effect, kisha Bitmap, mwisho kuna Windows na Help

Angalia na interface ya corel draw ipo hivyo hivyo
download-corel-draw-windows-7-interface.png

Ukienda insta utapata quality video inayoonesha muonekano vizuri na kusomeka.
 
Asante mkuu.

Barikiwa sana.
 
Mbona km sijakuelewa hasa unataka nn?
Software is not an issue kwny kutengeneza Logo issue ni skills zako tu. Iwe ni c/draw iwe A/illustrator.
 
Hiyo ni corel draw
Ame customize tu hizo color pallets kaweka juu na chini, na kuna baadhi ya tabs kazitoa.
 
Aisee hata Mimi nilidhani Ni Corel draw nikagoogle interface yake nikaona Kama iko tofauti.

Nataka kujifunza hii kitu. Maana naona wengi Sana wanaotengeneza reels za monochromatic logos wanatumia lakini nashindwa kujua Ni software gani.

NilimuDM mzungu mmoja akanikaushia. Mkuu confirm kamani Corel Draw nataka niingieclass onlineniimaster
Hiyo coreldraw mkuu
 
Kama unahitaji logo kali kwaajili ya biashara yako basi usikose kupitia hapa ili uchague zipo design mbalimbali za logo:
 
Back
Top Bottom