matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Adobe ipi ...Adobe
Aisee hata Mimi nilidhani Ni Corel draw nikagoogle interface yake nikaona Kama iko tofauti.Picha haionekani vizuri, nimecheki insta video zake nimegoogle imekuja Corel Draw.
Kwa muonekano ni Vector based mkuu,Aisee hata Mimi nilidhani Ni Corel draw nikagoogle interface yake nikaona Kama iko tofauti.
Nataka kujifunza hii kitu. Maana naona wengi Sana wanaotengeneza reels za monochromatic logos wanatumia lakini nashindwa kujua Ni software gani.
NilimuDM mzungu mmoja akanikaushia. Mkuu confirm kamani Corel Draw nataka niingieclass onlineniimaster
Asante mkuu.Kwa muonekano ni Vector based mkuu,
Nikagoogle menu za juu, angalia picha uliyoweka juu imeanza na Effect, kisha Bitmap, mwisho kuna Windows na Help
Angalia na interface ya corel draw ipo hivyo hivyo
Ukienda insta utapata quality video inayoonesha muonekano vizuri na kusomeka.
Hiyo coreldraw mkuuAisee hata Mimi nilidhani Ni Corel draw nikagoogle interface yake nikaona Kama iko tofauti.