Wakuu hiki kigezo cha " awe amefaulu somo la hatimkato ya Kiswahili na kingereza Maneno 100 kw dakika 1.

Ally Abdulrahman

Senior Member
Joined
Mar 28, 2015
Posts
196
Reaction score
319
Habari zenu. Naomba kuuliza kw MTU ambae ana diploma ya Business Administration kw mfano hizi nafasi za mwandish mwendesh ofisi au MTENDAJI ambazo sifa Zake ni Kam ifuatavyo

" Mwenye stashahada ya uhazili au Cheti cha NTA level 6 ya uhazili . Aidha awe amefaulu somo la hatimkato ya Kiswahili na kingereza Maneno 100 Kwa dakika 1 na kupata program za kompyuta za ofisi Kam word, excel , power point, na email.
Naomb kujua hizi sifa hazimfai kupat hio kazi maan computer amesoma , au hio hatimiko ni kozi maalum inayosomw naomb kueleweshwa wakuu hiki kigezo kinafundushwa wapi.
 
HatiMkato ni somo linasomwa na Watu wa secretarial.
Kuna mifumo mitatu nadhani,
Huo aliousoma,
Mwingine ambao kuna hati mkato ndani yake,
Na mwingine wenye masomo ya biashara.
Inategemea msomaji alisoma Kwa kufuata mfumo upi.
 
Back
Top Bottom