wakuu hiv haka ka-biomedical engineering nacho ni kazuri au?


mimi nimesoma hiyo kozi ni nzuri sana,,,,
 
hapa nafsi zinarumbana tu embu mwacheni shatani apite waswahili wanasema funika kombe mwanaharamu apite acheni kugombana watoto wa Nyerere
 
yap ni ka-biomedical maana naona ni kakoz kadogo hicho
hujui unacho ongelea nikozi inayo hitaji both basic medicine na general engineering ambapo electrical,electronics na mechanical lazima usome
 
poa kaka nimekusoma,poor me!!
 
Last edited by a moderator:
samahnn niliowakera,nahtaji msaada so plz naombeni yaishe wakuu
 
naombeni yaishe for sure,I'm serious now.Naomben muendelee kunishaur
 

nakuangalia unajiona bingwa mwenyewe.....sasa endelea hivo hivo...! sina time ya ....... na wazee kama nyinyi.
 
nakuangalia unajiona bingwa mwenyewe.....sasa endelea hivo hivo...! sina time ya ....... na wazee kama nyinyi.



Ha ha ha

Nilitaka kukushikisha adabu nje ya JF nilivyokuona ulivyo na story yote toka ndanda hadi ulipo nikakuonea Huruma sana...

Ni utoto unawasumbua tu...

Mpe hi Mr. Fredy
 
 
 

mkuu huyu anatakiwa kurwkebishwaa ngoja niingie chimbo.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…