wakuu hiv haka ka-biomedical engineering nacho ni kazuri au?

Ndugu yng anataka aende pale
dit kwa private sponsorship kamaliza form 4 2013 na ana div 2,ss mi
nimemshaur akachukue civil eng ambayo naamini ipo bomba sana kuliko koz
zote pale dit lkn yy ananambia kuna watu tayar washamshaur akachukue
hako ka-program,sasa ndo kaniomb nimsaidie kumtafutia ukweli juu ya hiyo
biomedical kama ni nzur au la! Na kama sio kwel achukue ip kwa ushaur
wenu nyny ambyo itamlipa baadae?

mimi nimesoma hiyo kozi ni nzuri sana,,,,
 
hapa nafsi zinarumbana tu embu mwacheni shatani apite waswahili wanasema funika kombe mwanaharamu apite acheni kugombana watoto wa Nyerere
 
yap ni ka-biomedical maana naona ni kakoz kadogo hicho
hujui unacho ongelea nikozi inayo hitaji both basic medicine na general engineering ambapo electrical,electronics na mechanical lazima usome
 
Dogo kuwa na adabu awali ulipoleta Uzi nilijua upo serious na unahitaji msaada but kwa bandiko hizi inaonesha unaleta ligi za kipuuzi hebu jisome hapa....

Walikuwepo watu kama wewe yawezekana mmoja wao umekuja kwa ID nyingine but nakuhakikishia utashindwa waulize hawa..... holygrail Darius Perry Mpigamsuli senator001 et al

CC: mitambo ya kurekebisha tabia Excel snipa Remote Baba V et al
poa kaka nimekusoma,poor me!!
 
Last edited by a moderator:
samahnn niliowakera,nahtaji msaada so plz naombeni yaishe wakuu
 
naombeni yaishe for sure,I'm serious now.Naomben muendelee kunishaur
 
Dogo kuwa na adabu awali ulipoleta Uzi nilijua upo serious na unahitaji msaada but kwa bandiko hizi inaonesha unaleta ligi za kipuuzi hebu jisome hapa....

Walikuwepo watu kama wewe yawezekana mmoja wao umekuja kwa ID nyingine but nakuhakikishia utashindwa waulize hawa..... holygrail Darius Perry Mpigamsuli senator001 et al

CC: mitambo ya kurekebisha tabia Excel snipa Remote Baba V et al

nakuangalia unajiona bingwa mwenyewe.....sasa endelea hivo hivo...! sina time ya ....... na wazee kama nyinyi.
 
Ha ha ha

Nilitaka kukushikisha adabu nje ya JF nilivyokuona ulivyo na story yote toka ndanda hadi ulipo nikakuonea Huruma sana...

Ni utoto unawasumbua tu...

Mpe hi Mr. Fredy
 
Ha ha ha

Nilitaka kukushikisha adabu nje ya JF nilivyokuona ulivyo na story yote toka ndanda hadi ulipo nikakuonea Huruma sana...

Ni utoto unawasumbua tu...

sasa challenges za nyuma kwenye keypad/keyboard ndo zikufanye unishikishe adabu....?? yaan jamaa siyo kabisaa, tena ukiangalia wewe ni mtu mzima, kiumri ni mfanyakazi na mimi ni mwanafunzi........!!

Eti kunishikisha adabu nje ya jf......so ungenipiga or kunisababisha nifukuzwe chuo......eenhee so what ...ungefaidika na nini labda?

me jf nimeji-register ili nipate news na ku-refresh mind yangu.., so usione na-comment kwa ku-diss ukadhania ndo lazima iwe hivyoo kama mimi navyo-comment zingine ni challenge tuu.

"fredy".?????? are you talking to fredy or darius
 
Hilo la fredy utajaza mwenyewe si ndio dingi yako au? ....

Matusi yako ya nguoni ndo yalinifanya nichukie kiasi cha kukufwatilia...

Mjifunze kuwa na adabu na watu
 
Dogo kuwa na adabu awali ulipoleta Uzi nilijua upo serious na unahitaji msaada but kwa bandiko hizi inaonesha unaleta ligi za kipuuzi hebu jisome hapa....

Walikuwepo watu kama wewe yawezekana mmoja wao umekuja kwa ID nyingine but nakuhakikishia utashindwa waulize hawa..... holygrail Darius Perry Mpigamsuli senator001 et al

CC: mitambo ya kurekebisha tabia Excel snipa Remote Baba V et al

mkuu huyu anatakiwa kurwkebishwaa ngoja niingie chimbo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom