Samvurah
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 532
- 515
Ndugu yng anataka aende pale
dit kwa private sponsorship kamaliza form 4 2013 na ana div 2,ss mi
nimemshaur akachukue civil eng ambayo naamini ipo bomba sana kuliko koz
zote pale dit lkn yy ananambia kuna watu tayar washamshaur akachukue
hako ka-program,sasa ndo kaniomb nimsaidie kumtafutia ukweli juu ya hiyo
biomedical kama ni nzur au la! Na kama sio kwel achukue ip kwa ushaur
wenu nyny ambyo itamlipa baadae?
mimi nimesoma hiyo kozi ni nzuri sana,,,,