Wakuu hivi kazi ya hii kitu ni nini hasa?

Hio bundle ukitafuna wanadai unajaza manii kikombe kile kidogo cha kahawa.Mi niliitafuna niikajaza viwili.Ila dokta kanishauri niachane na mihogo mibichi ( pressure ya macho)
 
🤣🤣
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Mbona huulizi kachumbali kwanini unakula vitu vibichi mle, nyanya, hoho, karoti, kabeji, kitunguu, chainise
Mbogamboga na matunda kuliwa vikiwa vibichi ni jambo la kawaida kwa binadamu wote duniani na inashauriwa hivyo kiafya. Ngedere, sokwe na wanyama wengine ndio huwa wanakula mihogo ikiwa mibichi.
 
Kwani hujui sisi zamani tulikuwa nyani. Historia ya std 4 hujaisoma
 
Back
Top Bottom