Oi oi niaje?
Mi kama mdau wa muziki japo tuseme huu muziki wa kizazi cha wasanii kuanzia 2015+ siwafatilii sana labda mtu afanye Ngoma kali sana...
Especially Mtoni ndo siwajui kabisa wasanii wapya at least Nigeria nawapata machalii wanaokichafua sana mfano kina Rema, Ruger, Burna boy, japo mi namkubali zaidi Omaha Ley.....
Sasa nikirudi kwenye swali lako huyo Rod wave sijajua nini kimekufanya Hadi useme ndo "msanii wako Bora" wa muda wote "duniani" kwakweli siwezi kupinga maoni ya mtu maana ni mtazamo wako.
Lakini to be honest huyo chalii tukimlinganisha na wasanii wakali wa level ya Dunia simuoni hata akiingia top 10,000 bado sana.... Maybe Kwa kizazi hiki cha Leo maana music ushagajifia....
Tafuta muda uwafatilie wasanii wa 90's pale USA ndo itanielewa kuna Ngoma zilikua zinapigwa unapata feeling Hadi unalia... Sikutanii
Tafuta Ngoma ya NEYO inaitwa So Sick... Au Cassidy Get no better... Hata R Kelly mfalme R&b "storm is over"