Wakuu hivi kuna msanii anemzidi kipaji Rod Wave

Msanii unayemzugumzia anatumia melod moja tu ya wimbo wa R.Kelly " I Wish". Nafikiri hata yeye anatamani kuimba mziki alioimba R.Kelly lakini ni ngumu kufika hiyo level maana ni gift from above .
Wewe huna akili huyo dogo ni anakipaji sio yule mbakaji yaani wave amuige huyo mbakaji akili huna
 
Rod Wave ni msanii mzuri kwa mtu anaependa nyimbo zenye hisia, ana ngoma moja inaitwa Street Runner ooh hiyo ngoma ntaikubali miaka buku lkn pia kuna Cold December.
 
Wewe huna akili huyo dogo ni anakipaji sio yule mbakaji yaani wave amuige huyo mbakaji akili huna
King of r&b ni R.kelly huyo dogo kachukua tuzo ipi ?kafanya nini?Anazo grammy ngapi?anazo BET ngapi? Anayo record ipi kwenye Guinness world of record? nataka ubishe kwamba melod anayotumia kila wimbo haifanani na wimbo mmoja mdogo tu wa R.kelly "I WISH ".Nb. mtu yoyote anayeanza sentensi na neno "hauna akili IQ yake haizidi 23"
 
Basi hujui mziki kijana kama unashindwa kumkubali huyu mwamba mwenye rekodi ya kupata gramy 12 usiku mmoja tu
Sisikilizi watu Kwa kupata Grammy nasikiliza mziki mzuri mzee Mimi sio mfuata mikumbo
 
King of r&b ni R.kelly huyo dogo kachukua tuzo ipi ?kafanya nini?Anazo grammy ngapi?anazo BET ngapi? Anayo record ipi kwenye Guinness world of record? nataka ubishe kwamba melod anayotumia kila wimbo haifanani na wimbo mmoja mdogo tu wa R.kelly "I WISH ".Nb. mtu yoyote anayeanza sentensi na neno "hauna akili IQ yake haizidi 23"
Akili huna Uzi nimeshabainisha dogo aongelewi halafu unataka matuzo Mimi naongelea mziki mzuri kama matuzo hata drake anayo kibao ila. Jiulize anamziki Gani wa kutisha kwahiyo hata hapa tanzania diamond ndio anamziki mzuri kuzidi wote sio
 
Nipe hottest tracks zake Kama 10 nimtegee sikio hii weekend
 
Akili huna Uzi nimeshabainisha dogo aongelewi halafu unataka matuzo Mimi naongelea mziki mzuri kama matuzo hata drake anayo kibao ila. Jiulize anamziki Gani wa kutisha
Drake hana mziki ?Mtu mmoja unapoona wimbo ambao umeangaliwa na watu bilioni haufai jitafakari sana huo ni wendawazimu (insane ),huyo dogo unayempenda hawezi kutoa wimbo ukaangaliwa na watu bilioni hiko kipaji hana .Kuwaona watu bilioni wanaomkubali drake hawana akili ni wendawazimu.
 
Attachments

  • Screenshot_20240825-141017.jpg
    Screenshot_20240825-141017.jpg
    447.4 KB · Views: 2
Drake hana mziki ?Mtu mmoja unapoona wimbo ambao umeangaliwa na watu bilioni haufai jitafakari sana huo ni wendawazimu (insane ),huyo dogo unayempenda hawezi kutoa wimbo ukaangaliwa na watu bilioni hiko kipaji hana .Kuwaona watu bilioni wanaomkubali drake hawana akili ni wendawazimu.
Sitaki ligi endelea na Mambo mengine maana unatafuta ushindi
 
King of r&b ni R.kelly huyo dogo kachukua tuzo ipi ?kafanya nini?Anazo grammy ngapi?anazo BET ngapi? Anayo record ipi kwenye Guinness world of record? nataka ubishe kwamba melod anayotumia kila wimbo haifanani na wimbo mmoja mdogo tu wa R.kelly "I WISH ".Nb. mtu yoyote anayeanza sentensi na neno "hauna akili IQ yake haizidi 23"
Achana na hivi vitoto vya 2000... Havijui kuunda hoja Bali kuku-attack vikishazidiwa...
Sasa huyo msanii hana hit song hata moja halafu ndo aje kua msanii Bora duniani... NON SENSE!!!...
 
Back
Top Bottom