Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
Ndio yupo dunia Gani huyoHujamskiliza Said Kokoo ( Chikwambu ) wewe.
Hizo sio ngoma zangu mzeeHapa namsikiliza marehemu omary omary.. Kupata majaliwa.,
Sikiliza hiyo ngoma kwanza ndio utaelewa kwanini huyo msanii wako mkali lakini haimbwi.
Oi oi niaje?View attachment 3077954
Katika wasanii ambao nikisikiliza ngoma zao nazielewa namba Moja duniani ni rod wave nataka nijue Kuna msanii anaemzidi kipaji huyu jamaa duniani Sasa hivi nazungumzia kipaji a.k.a mziki mzuri sio umaarufu.
Wewe mziki huujui au umezeeka kati ya hayo mawili ngoma ulizonitajia nikiringanisha na za huyu dogo hata nusu hazifiki hivi mtaacha lini habari za kusifia vitu vya zamani kwahiyo Sasa hivi vipaji havizaliwi si ndio mungu kasitisha kuleta vipaji duniani yaani wazee bhana mnatabuOi oi niaje?
Mi kama mdau wa muziki japo tuseme huu muziki wa kizazi cha wasanii kuanzia 2015+ siwafatilii sana labda mtu afanye Ngoma kali sana...
Especially Mtoni ndo siwajui kabisa wasanii wapya at least Nigeria nawapata machalii wanaokichafua sana mfano kina Rema, Ruger, Burna boy, japo mi namkubali zaidi Omaha Ley.....
Sasa nikirudi kwenye swali lako huyo Rod wave sijajua nini kimekufanya Hadi useme ndo "msanii wako Bora" wa muda wote "duniani" kwakweli siwezi kupinga maoni ya mtu maana ni mtazamo wako.
Lakini to be honest huyo chalii tukimlinganisha na wasanii wakali wa level ya Dunia simuoni hata akiingia top 10,000 bado sana.... Maybe Kwa kizazi hiki cha Leo maana music ushagajifia....
Tafuta muda uwafatilie wasanii wa 90's pale USA ndo itanielewa kuna Ngoma zilikua zinapigwa unapata feeling Hadi unalia... Sikutanii
Tafuta Ngoma ya NEYO inaitwa So Sick... Au Cassidy Get no better... Hata R Kelly mfalme R&b "storm is over"
Huyo tatizo anapiga sana kelele aiseeRodwave ni msanii anayeimba nyimbo za kupambana na maisha mostly ila hata Joyner lucas nae yuko vzuri sana japo ujumbe wake mda mwingine unakua mkali.
Nani joyner lucas au?Huyo tatizo anapiga sana kelele aisee
Ndio nimemsikiliza naona anakelele sana hapo nyimbo zake zina ujumbeNani joyner lucas au?
Eminema ndo infulencer waoNdio nimemsikiliza naona anakelele sana hapo nyimbo zake zina ujumbe
Huyu msanii wako Hana hata hit song moja ndo useme n msanii Bora duniani ???Wewe mziki huujui au umezeeka kati ya hayo mawili ngoma ulizonitajia nikiringanisha na za huyu dogo hata nusu hazifiki hivi mtaacha lini habari za kusifia vitu vya zamani kwahiyo Sasa hivi vipaji havizaliwi si ndio mungu kasitisha kuleta vipaji duniani yaani wazee bhana mnatabu
Wewe akili huna rod wave Hana hit song hivi wewe ni mtu wa mziki au umeleta ligi ya ubishaniHuyu msanii wako Hana hata hit song moja ndo useme n msanii Bora duniani ???
Msanii unayemzugumzia anatumia melod moja tu ya wimbo wa R.Kelly " I Wish". Nafikiri hata yeye anatamani kuimba mziki alioimba R.Kelly lakini ni ngumu kufika hiyo level maana ni gift from above .View attachment 3077954
Katika wasanii ambao nikisikiliza ngoma zao nazielewa namba Moja duniani ni rod wave nataka nijue Kuna msanii anaemzidi kipaji huyu jamaa duniani Sasa hivi nazungumzia kipaji a.k.a mziki mzuri sio umaarufu.
Kashafariki, Mungu amlaze anapostahiliView attachment 3077954
Katika wasanii ambao nikisikiliza ngoma zao nazielewa namba Moja duniani ni rod wave nataka nijue Kuna msanii anaemzidi kipaji huyu jamaa duniani Sasa hivi nazungumzia kipaji a.k.a mziki mzuri sio umaarufu.
Acha uongo wewe kuzushia watu vifoKashafariki, Mungu amlaze anapostahili