Mbona wengine wamesema unalipiaNguzo ni bure
Mkuu Kwahiyo ukinunua nguzo inakua bado pesa ya mita nayo unalipia sijaelewa hapoBei ya kununua nguzo moja iwe mjini au kijijini ni 520000...endapo ukinunua nguzo mbili gharama hupungua kuja hadi 670000 hadi laki saba.
kama eneo lako lipo kijijini na limepitiwa na nguzo za tanesco ukitaka kuvuta ndani mwako ili upate mita utalipia 27000/=
Kwa mjini ili upate mita utalipia kuanzia laki ....
Hapo na gharama ya mita ipo ila wiring ya ndani kwako ni jukumu lako sio lao.Kw
Mkuu Kwahiyo ukinunua nguzo inakua bado pesa ya mita nayo unalipia sijaelewa hapo
Ooh okay sawa nilkua siajelewa mkuu kumbe ukishalipia hiyo pesa mfano ya nguzo mbili au Moja wewe unasubiri umeme kuwaka tu kwakoHapo na gharama ya mita ipo ila wiring ya ndani kwako ni jukumu lako sio lao.
Nijuavyo ni hivyo kama kuna mabadiliko wajuvi watatujuza.Ooh okay sawa nilkua siajelewa mkuu kumbe ukishalipia hiyo pesa mfano ya nguzo mbili au Moja wewe unasubiri umeme kuwaka tu kwako
Sawa mkuuNijuavyo ni hivyo kama kuna mabadiliko wajuvi watatujuza.
Ooh okay mkuu515000
Januari 2024. Umeme ulifikwa kwenye mita tuMwaka Gani mkuu na je ni mpaka kuwaka
Hakuna kuvuta umeme Kwa nguzo,wewe nenda Tanesco malipo ni 320,000 hivi swala la nguzo sio lako na kama Kuna Rea ni 27,000Najiuliza hapa Bei ya kuvuta umeme nguzo Moja ni Bei Gani Kuna jamaa wameniambia 1m hivi ni kweli wakuu au wanataka kunipiga maana sielewi taratibu mnaojua mnijuze wakuu@Tanesco
Hata ingekuwa wapi gharama ni laki 3,sio jukumu la mteja kununua nguzoNimelipia hivi karibuni na wamekuja kuunganisha ,nimetoa laki tatu ila ni karibu bila ga nguzo ...Sijajua kama nguzo wanahesabu kwa sababu walikuja kufanya tathmini na kuangalia aina ya wiring iliyowekwa kwanza.