Wakuu hivi league ya NBC IPO ama imefutwa

Leo ligi ya NBC inaendelea kwa mechi kadhaa kuchezwa. Ni timu za Yanga na simba tu ndiyo hazitahusika kwa sababu zinasafiri/zimesafiri kwa ajili ya mechi zao za marudio.
Ok basi sijaona tangazo Wala taarifa mahali popote iwe itv tbc au channel ten Karim Boimanda ajitahidi kutoa taarifa
 
Ok basi sijaona tangazo Wala taarifa mahali popote iwe itv tbc au channel ten Karim Boimanda ajitahidi kutoa taarifa
Hakuna game za nbc plemier league leo mkuu,zilizopo ni za kombe la shilikisho la azam Namungo vs kagera sugar
 
Binadamu hatuna jema, viporo vikiwa vingi Malalamiko, haya wejaribu kuwafurahisha ligi michezo iwe sawa bado mnalialia. Mwakani TFF waachie ligi itembee na watu wasilie viporo.
 
Leo ligi ya NBC inaendelea kwa mechi kadhaa kuchezwa. Ni timu za Yanga na simba tu ndiyo hazitahusika kwa sababu zinasafiri/zimesafiri kwa ajili ya mechi zao za marudio.
Usipende kubwabwaja bila ya data, haya nipeechi zilizochezwa leo za NBC PL
 
Tunawasubiri ma last born watolewe kimataifa

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
bilashaka technical benches wa team zote za ligi, wako na walikua chonjo sana na hilo.
na hata hivyo mapumziko haya ya pasaka ni ya ligi tu na sio mazoezi na ratiba za team shiriki [emoji205]
Mazoezi na mechi ni vitu viwili tofauti kabisa hata ucheze mazoezi mwaka mzima bila mechi timu haiwezi kuwa fit

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Ifutwe tu bingwa kashajulikana msimamo ubaki kama ulivyo
Inawezekana hii ligi huwa Ina mambo mengi zaidi ya mpira uwanjani
Ni kama watu hukaa Kila mara kuangalia kama malengo yanaenda sawa ama Kuna mahali wanateleza kwenye kumtengeneza bingwa wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ