Satirical Yet Awesome
JF-Expert Member
- Oct 11, 2023
- 629
- 1,688
Kwa ufupi mimi ni mtu ambaye nimenyooka, naheshimu sana watu, naheshimu muda wa watu, naheshimu mali za watu, naheshimu utu wa mtu, naheshimu uaminifu wa mtu kwangu.
Na hii tabia nimerithi kwa baba angu, ambaye wakati nakua nilikiwa namwona anavyo interact na watu na nikaiga baadhi ya tabia zake.
So hii hali inanifanya nigombane na watu wengi, hasa jinsia ya kiume.
Unakuta mtu mnakubaliana siku flani mtaenda sehemu X kufanya jambo X, but ukimpigia simu hio siku eti anakwambia "aaah mwanang ndio unanikumbusha hapa nilikuwa nishasahau" hii kitu huwaga inanikera sana.
Kwenye madeni ndo usiseme, mimi huwaga nashangaa watu, mbona mimi nikikopa narudisha before deadline, yaan kabla hata muda tuliokubaliana nahakikisha hela yako inarudi, but some people aisee yaan mtakumbushana hadi mtagombana.
Hii hali ya watu kukosa uaminifu imenifanya niache kukopesha watu, mtu asaiv akiniomba hela kama ninayo ntampa tu kwa moyo mmoja, kama sina ntakuambia tu sina, mambo ya kupopeshana staki asaiv nishapoteza marafiki wengi kisa kukosa uaminifu.
Another scenario unakuta mtu umeongea nae mmekubaliana kabisa kuhusu bidhaa flani na bei yake, alaf ukienda kufanya purchase anaanza kuleta uswahili ooh sijui "huu mzigo asaiv bei zimechangamka hautoki hadi uongeze bei", au "sorry bro nilikuwa sijacheki store kumbe ule mzigo uliisha", huu ni uswahili.
Hivi mnaishije na waswahili?
Nipeni ushauri kwa hili maana bila hivo ntaendelea kugombana na watu kila siku.