Wakuu hivi mnawezaje kuishi na watu ambao hawajanyooka kwenye baadhi ya mambo

1. "Simu ilikuwa chaji"
2. "Samahani msg sikuiona"
3. "Kuna msg umenitumia?"
4. "Sikusikia, simu ilikuwa silent"
5. "Tufanye kesho"
6. "Tufanye tu Jumatatu leo tumeshachelewa"
7. "Mtandao unasumbua"
6.Suburi kuna pesa nafuatilia
7. Kwani huniamini hiyo pesa ndogo sana kwangu.
8. Huku kuna mvua labda tufanye kesho.
9. Nimepata msiba sitaweza kufika nk.
 
Kwa ufupi mimi ni mtu ambaye nimenyooka, naheshimu sana watu, naheshimu muda wa watu, naheshimu mali za watu, naheshimu utu wa mtu, naheshimu uaminifu wa mtu kwangu.

Na hii tabia nimerithi kwa baba angu, ambaye wakati nakua nilikiwa namwona anavyo interact na watu na nikaiga baadhi ya tabia zake.

So hii hali inanifanya nigombane na watu wengi, hasa jinsia ya kiume.

Unakuta mtu mnakubaliana siku flani mtaenda sehemu X kufanya jambo X, but ukimpigia simu hio siku eti anakwambia "aaah mwanang ndio unanikumbusha hapa nilikuwa nishasahau" hii kitu huwaga inanikera sana.

Kwenye madeni ndo usiseme, mimi huwaga nashangaa watu, mbona mimi nikikopa narudisha before deadline, yaan kabla hata muda tuliokubaliana nahakikisha hela yako inarudi, but some people aisee yaan mtakumbushana hadi mtagombana.

Hii hali ya watu kukosa uaminifu imenifanya niache kukopesha watu, mtu asaiv akiniomba hela kama ninayo ntampa tu kwa moyo mmoja, kama sina ntakuambia tu sina, mambo ya kupopeshana staki asaiv nishapoteza marafiki wengi kisa kukosa uaminifu.

Another scenario unakuta mtu umeongea nae mmekubaliana kabisa kuhusu bidhaa flani na bei yake, alaf ukienda kufanya purchase anaanza kuleta uswahili ooh sijui "huu mzigo asaiv bei zimechangamka hautoki hadi uongeze bei", au "sorry bro nilikuwa sijacheki store kumbe ule mzigo uliisha", huu ni uswahili.

Hivi mnaishije na waswahili?

Nipeni ushauri kwa hili maana bila hivo ntaendelea kugombana na watu kila siku.
Una damu ya kizungu ,kiufupi uko kama mimi ,Imekuwa bahati mbaya na mkosi Tumezaliwa shithole countries zenye watu wenye ubongo wenye funza na mavi ya popo +vumbi
 
Mtoa mada hujapishana na mimi kabisa,nishagombana na watu wengi sababu ya ubabaishaji kazi ninayofanya inahusisha kuchukua pesa za mabosi na boss ukishachukua pesa yake anataka aone matokea sio brabra tena kuepusha hayo nafanya kazi na watu wazima kidogo alie na familia kidgo angalau
 
Nina Rafiki yangu yupo smart kichwani lakini mambo yake hayajanyooka.
Mnaweza panga muondoke sehemu saa 10, lakini yeye atajichelewesha tuu Kwa kuongea na watu vitu visivyo na sababu.

Mnaweza mkawa mnatembea mnawahi sehemu akakutana na mtu , akamsalimia zaidi ya dk 10.

Yeye kujichelewesha sio shida. Au mmepanga mkutane sehemu mfanye kazi, anaweza akapigiwa simu anaongea DK 10 anapiga tuu story mpaka umstue.

Kubadilisha ratiba ni sekundee moja na anaona sawa Tu! Unaweza ukatamani kulia aisee...

Ila yupo vizuri, she's smart! akitoa mawazo huwa productive.
Inaonekana una ka wivu flani na huyo she....
 
Hapana she is my bestie na namkubalii Sana...na tukiwa teams lazima project itoboe..!
Sema ndo hajali muda na hanyooshi mambo! Na shida Mimi najali Sana muda ila ndo sio smart Kama yeye 😀
 
Kwa ufupi mimi ni mtu ambaye nimenyooka, naheshimu sana watu, naheshimu muda wa watu, naheshimu mali za watu, naheshimu utu wa mtu, naheshimu uaminifu wa mtu kwangu.

Na hii tabia nimerithi kwa baba angu, ambaye wakati nakua nilikiwa namwona anavyo interact na watu na nikaiga baadhi ya tabia zake.

So hii hali inanifanya nigombane na watu wengi, hasa jinsia ya kiume.

Unakuta mtu mnakubaliana siku flani mtaenda sehemu X kufanya jambo X, but ukimpigia simu hio siku eti anakwambia "aaah mwanang ndio unanikumbusha hapa nilikuwa nishasahau" hii kitu huwaga inanikera sana.

Kwenye madeni ndo usiseme, mimi huwaga nashangaa watu, mbona mimi nikikopa narudisha before deadline, yaan kabla hata muda tuliokubaliana nahakikisha hela yako inarudi, but some people aisee yaan mtakumbushana hadi mtagombana.

Hii hali ya watu kukosa uaminifu imenifanya niache kukopesha watu, mtu asaiv akiniomba hela kama ninayo ntampa tu kwa moyo mmoja, kama sina ntakuambia tu sina, mambo ya kupopeshana staki asaiv nishapoteza marafiki wengi kisa kukosa uaminifu.

Another scenario unakuta mtu umeongea nae mmekubaliana kabisa kuhusu bidhaa flani na bei yake, alaf ukienda kufanya purchase anaanza kuleta uswahili ooh sijui "huu mzigo asaiv bei zimechangamka hautoki hadi uongeze bei", au "sorry bro nilikuwa sijacheki store kumbe ule mzigo uliisha", huu ni uswahili.

Hivi mnaishije na waswahili?

Nipeni ushauri kwa hili maana bila hivo ntaendelea kugombana na watu kila siku.
Kwa hiyo tu kusema wewe umenyooka, sasa ujue hujanyooka. Mambo ni kuambiana tu ukweli na kuvumiliana.
 
pole sana ...bado hujayajua maisha...
 
Kubali kuwa watu hamfanani. Wewe mwenyewe kuna mambo hujanyooka.
Sifa ya mtu aliyeenyooka sio Kwamba hakosei lah,ila uelewa wake hata pale unamwambia kuwa hapa hujanyooka,ni watu wa ambayo wapo so hard on emself kuliko Kwa wengine,na hiyo ni sifa mojawapo ya kundi la phlegmatic people.
 
Nina Rafiki yangu yupo smart kichwani lakini mambo yake hayajanyooka.
Mnaweza panga muondoke sehemu saa 10, lakini yeye atajichelewesha tuu Kwa kuongea na watu vitu visivyo na sababu.

Mnaweza mkawa mnatembea mnawahi sehemu akakutana na mtu , akamsalimia zaidi ya dk 10.

Yeye kujichelewesha sio shida. Au mmepanga mkutane sehemu mfanye kazi, anaweza akapigiwa simu anaongea DK 10 anapiga tuu story mpaka umstue.

Kubadilisha ratiba ni sekundee moja na anaona sawa Tu! Unaweza ukatamani kulia aisee...

Ila yupo vizuri, she's smart! akitoa mawazo huwa productive.
Kumbe ni she,ndo maana hajanyooka
 
Nakushauri uanzishe group la WhatsApp ili watu wenye hulka ya kunyooka tujiunge? .... Tuko wengi ujue? Au hata hapa JF, lipatikane jukwaa la watu walionyooka.... Mfano wa " Freemason" 🤔
 
Kwa ufupi mimi ni mtu ambaye nimenyooka, naheshimu sana watu, naheshimu muda wa watu, naheshimu mali za watu, naheshimu utu wa mtu, naheshimu uaminifu wa mtu kwangu.

Na hii tabia nimerithi kwa baba angu, ambaye wakati nakua nilikiwa namwona anavyo interact na watu na nikaiga baadhi ya tabia zake.

So hii hali inanifanya nigombane na watu wengi, hasa jinsia ya kiume.

Unakuta mtu mnakubaliana siku flani mtaenda sehemu X kufanya jambo X, but ukimpigia simu hio siku eti anakwambia "aaah mwanang ndio unanikumbusha hapa nilikuwa nishasahau" hii kitu huwaga inanikera sana.

Kwenye madeni ndo usiseme, mimi huwaga nashangaa watu, mbona mimi nikikopa narudisha before deadline, yaan kabla hata muda tuliokubaliana nahakikisha hela yako inarudi, but some people aisee yaan mtakumbushana hadi mtagombana.

Hii hali ya watu kukosa uaminifu imenifanya niache kukopesha watu, mtu asaiv akiniomba hela kama ninayo ntampa tu kwa moyo mmoja, kama sina ntakuambia tu sina, mambo ya kupopeshana staki asaiv nishapoteza marafiki wengi kisa kukosa uaminifu.

Another scenario unakuta mtu umeongea nae mmekubaliana kabisa kuhusu bidhaa flani na bei yake, alaf ukienda kufanya purchase anaanza kuleta uswahili ooh sijui "huu mzigo asaiv bei zimechangamka hautoki hadi uongeze bei", au "sorry bro nilikuwa sijacheki store kumbe ule mzigo uliisha", huu ni uswahili.

Hivi mnaishije na waswahili?

Nipeni ushauri kwa hili maana bila hivo ntaendelea kugombana na watu kila siku.
Usishangae sana tupo wengi wazee wa straight forward reverse gear mwiko😄😄😄😄😄

Mimi hata demu huwa namnyookea direct kuwa nimekuelewa kama hutojali tukabiolojike huwa staki kupoteza muda kabisa🤗wa kuanza kusumbuana weee huku utamu tunapata wote. In fact siku wanaume wakijua kulinda brand kama jinsi wanawake wanalinda brand maisha ya kulilialilia mapenzi yatakuwa hadithi.

Back to the topic mimi binafsi nimeshaacha kukopesha wapuuzi NGOZI NYEUSI NYWELE NGUMU( BLACK PEOPLE) yote hiyo ni sababu ya kuona ni watu wasio na utu,malengo wala hawana kujiheshimu na option iliyoback ni kucut 1/2 au 1/4 the price ya unachotaka kunikopa ndo nikupe huwa sipendi ujinga na kupotezeana muda.

Keep it up, ukitaka usikereke na haya maisha jitahidi uwakwepe wajinga wajinga na usiwafanye washirika wako. Mimi napenda kujitegemea kwa kila kitu, binadamu hawana jema especilly binadamu kutoka AFRICA.
 
Una damu ya kizungu ,kiufupi uko kama mimi ,Imekuwa bahati mbaya na mkosi Tumezaliwa shithole countries zenye watu wenye ubongo wenye funza na mavi ya popo +vumbi
Tuappeal sisi ambao tupo straight forward tubadilishie bara la kukaa afrika haitufai,,,huku mijitu haijui kujiheshimu na kuheshimu wengine.
 
Rafiki yangu wa over 20 years kachagua 350,000 dhidi yangu na wala haikuwa yangu kuna mtu nilim connect nae akamtumia hiyo pesa amnunulie kitu yeye hakukinunua na hakutoa sababu wala pesa hakurudisha sasa ile guilt inamsumbua na urafiki ni kama unakufa. Hapa kati alifiwa na kaka ake mimi sikuwepo ila nilituma mtu nilishiriki nilivoweza ikawa imeisha hiyo.
 
Back
Top Bottom