Wakuu hivi mnawezaje kuishi na watu ambao hawajanyooka kwenye baadhi ya mambo

1. "Simu ilikuwa chaji"
2. "Samahani msg sikuiona"
3. "Kuna msg umenitumia?"
4. "Sikusikia, simu ilikuwa silent"
5. "Tufanye kesho"
6. "Tufanye tu Jumatatu leo tumeshachelewa"
7. "Mtandao unasumbua"
6.Suburi kuna pesa nafuatilia
7. Kwani huniamini hiyo pesa ndogo sana kwangu.
8. Huku kuna mvua labda tufanye kesho.
9. Nimepata msiba sitaweza kufika nk.
 
Una damu ya kizungu ,kiufupi uko kama mimi ,Imekuwa bahati mbaya na mkosi Tumezaliwa shithole countries zenye watu wenye ubongo wenye funza na mavi ya popo +vumbi
 
Mtoa mada hujapishana na mimi kabisa,nishagombana na watu wengi sababu ya ubabaishaji kazi ninayofanya inahusisha kuchukua pesa za mabosi na boss ukishachukua pesa yake anataka aone matokea sio brabra tena kuepusha hayo nafanya kazi na watu wazima kidogo alie na familia kidgo angalau
 
Inaonekana una ka wivu flani na huyo she....
 
Inaonekana una ka wivu flani na huyo she....
Hapana she is my bestie na namkubalii Sana...na tukiwa teams lazima project itoboe..!
Sema ndo hajali muda na hanyooshi mambo! Na shida Mimi najali Sana muda ila ndo sio smart Kama yeye ๐Ÿ˜€
 
Kwa hiyo tu kusema wewe umenyooka, sasa ujue hujanyooka. Mambo ni kuambiana tu ukweli na kuvumiliana.
 
pole sana ...bado hujayajua maisha...
 
Kubali kuwa watu hamfanani. Wewe mwenyewe kuna mambo hujanyooka.
Sifa ya mtu aliyeenyooka sio Kwamba hakosei lah,ila uelewa wake hata pale unamwambia kuwa hapa hujanyooka,ni watu wa ambayo wapo so hard on emself kuliko Kwa wengine,na hiyo ni sifa mojawapo ya kundi la phlegmatic people.
 
Kumbe ni she,ndo maana hajanyooka
 
Nakushauri uanzishe group la WhatsApp ili watu wenye hulka ya kunyooka tujiunge? .... Tuko wengi ujue? Au hata hapa JF, lipatikane jukwaa la watu walionyooka.... Mfano wa " Freemason" ๐Ÿค”
 
Usishangae sana tupo wengi wazee wa straight forward reverse gear mwiko๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„

Mimi hata demu huwa namnyookea direct kuwa nimekuelewa kama hutojali tukabiolojike huwa staki kupoteza muda kabisa๐Ÿค—wa kuanza kusumbuana weee huku utamu tunapata wote. In fact siku wanaume wakijua kulinda brand kama jinsi wanawake wanalinda brand maisha ya kulilialilia mapenzi yatakuwa hadithi.

Back to the topic mimi binafsi nimeshaacha kukopesha wapuuzi NGOZI NYEUSI NYWELE NGUMU( BLACK PEOPLE) yote hiyo ni sababu ya kuona ni watu wasio na utu,malengo wala hawana kujiheshimu na option iliyoback ni kucut 1/2 au 1/4 the price ya unachotaka kunikopa ndo nikupe huwa sipendi ujinga na kupotezeana muda.

Keep it up, ukitaka usikereke na haya maisha jitahidi uwakwepe wajinga wajinga na usiwafanye washirika wako. Mimi napenda kujitegemea kwa kila kitu, binadamu hawana jema especilly binadamu kutoka AFRICA.
 
Nakushauri uanzishe group la WhatsApp ili watu wenye hulka ya kunyooka tujiunge? .... Tuko ujue? Au hata hapa JF, lipatijane jukwaa la watu walionyooka.... Mfano wa " Freemanson" ๐Ÿค”
Sisi wenye hulka ya kunyoooka kama rula huwa ni watu smart sana, independent, introvets๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
Una damu ya kizungu ,kiufupi uko kama mimi ,Imekuwa bahati mbaya na mkosi Tumezaliwa shithole countries zenye watu wenye ubongo wenye funza na mavi ya popo +vumbi
Tuappeal sisi ambao tupo straight forward tubadilishie bara la kukaa afrika haitufai,,,huku mijitu haijui kujiheshimu na kuheshimu wengine.
 
Rafiki yangu wa over 20 years kachagua 350,000 dhidi yangu na wala haikuwa yangu kuna mtu nilim connect nae akamtumia hiyo pesa amnunulie kitu yeye hakukinunua na hakutoa sababu wala pesa hakurudisha sasa ile guilt inamsumbua na urafiki ni kama unakufa. Hapa kati alifiwa na kaka ake mimi sikuwepo ila nilituma mtu nilishiriki nilivoweza ikawa imeisha hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ