Wakuu hivi naweza kununua eneo la 30 msq?

Wakuu hivi naweza kununua eneo la 30 msq?

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Yaani eneo liwe na upana wa mita tano na urefu wa mita sita. Inawezekana? Kuna limit ya ukubwa wa eneo analoweza miliki mtu?
 
Yaani eneo liwe na upana wa mita tano na urefu wa mita sita. Inawezekana? Kuna limit ya ukubwa wa eneo analoweza miliki mtu?
Inategemea unanunua wapi? Kuna sehemu zinafuata taratibu za mipango miji na kamwe hilo jambo haliwezi kuruhusiwa
 
Naonaga Matangazo ya viwanja utasikia Square meter 1 bei elfu 12. Sasa sijui wana minimum number au ata ukitaka izo square metres ulizotaja.
 
Back
Top Bottom