Wakuu hivi yale Maandamano ya CHADEMA yaliishia wapi?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Aisee mambo ya Gen Z wa Kenya yamenikumbusha mbali.

Mwanzo wa mwaka tuliona kina CHADEMA eti wanaandamana kila Jiji baadae maandamano yakayeyuka ghafla🤪🤪🤪🤪

Nini kilitokea maana walikuwa wanapewa ulinzi kabisa wakidai maisha magumu. Je, saizi maisha ni rahisi?

Swali: Maandamano ya CHADEMA yaliishiaga wapi?

My Take: Samia ni Profesa wa siasa yaani walitegenea kupata kiki kwa Polisi kuwazuia ila walivyoachwa wakapoteana 🤣🤣

=====

Pia soma:

Watanzania Kila mtu ni kada wa CCM,itakuwa ngumu kudai haki Kwa njia ya maandamano pia wengi wetu vichwani bado hatujitambua.hivo ngoja tuendelee kuumia labda siku ipo tutaamka tudai haki zetu
Kajiandikishe bbt ya Bashe.
 
Watanzania Kila mtu ni kada wa CCM,itakuwa ngumu kudai haki Kwa njia ya maandamano pia wengi wetu vichwani bado hatujitambua.hivo ngoja tuendelee kuumia labda siku ipo tutaamka tudai haki zetu
Wapi unaumia na unaumia na nani usaidiwe?dadavua
 
Kwani Tanzania kuna majiji mangapi na maandamano yalifanyika kwenye majiji mangapi?
Au ulitaka waandamane kwa kulipua watu? Maandamano yalifanyika jama ilivyoanishwa kwenye katiba.
 
Leo unakejeli, ila unachoona hapo Kariakoo ndio mfano wa kitachotokea Chadema wasipoandamana. Ubaya bado mnaamini Chadema ndio mpinzani, mnajidanganya.

Walimu wana maumivu, Wafanyakazi wana maumivu, Madokta wana maumivu, Wakulima wana maumivu, Polisi wana maumivu, Wanachuo wana maumivu NK

Wafanyabiashara wameanza kwa kuwaonyesha sample itavyokuwa kila mtu kwenye kada yake akiamua kutoa ya moyoni.
Brain yako inakuruhusu kukejeli ila kuna bomu mnalitengeneza wenyewe.
 
Aisee mambo ya Gen Z wa Kenya yamenikumbusha mbali.

Mwanzo wa mwaka tuliona kina CHADEMA eti wanaandamana kila Jiji baadae maandamano yakayeyuka ghafla🤪🤪🤪🤪

Nini kilitokea maana walikuwa wanapewa ulinzi kabisa wakidai maisha magumu. Je, saizi maisha ni rahisi?

Swali: Maandamano ya CHADEMA yaliishiaga wapi?

My Take: Samia ni Profesa wa siasa yaani walitegenea kupata kiki kwa Polisi kuwazuia ila walivyoachwa wakapoteana 🤣🤣
Maandamano yalikosa waandamanaji.
 
Anayepata hasara Kariakoo kwa sababu za mgomo ni Serikali au wenye maduka?

Serikali haiwezi kupata hasara sababu hii nchi ni kubwa sana na vyanzo vya mapato ni vingi sana. Serikali haitegemei kukusanya kodi Kariakoo peke yake.

Atakayeumia kwenye huo mgomo ni mfanyabiashara sababu mwisho wa mwezi atatakiwa kulipa pango na wafanyakazi. Tusubirie tuone.
 
Aisee mambo ya Gen Z wa Kenya yamenikumbusha mbali.

Mwanzo wa mwaka tuliona kina CHADEMA eti wanaandamana kila Jiji baadae maandamano yakayeyuka ghafla🤪🤪🤪🤪

Nini kilitokea maana walikuwa wanapewa ulinzi kabisa wakidai maisha magumu. Je, saizi maisha ni rahisi?

Swali: Maandamano ya CHADEMA yaliishiaga wapi?

My Take: Samia ni Profesa wa siasa yaani walitegenea kupata kiki kwa Polisi kuwazuia ila walivyoachwa wakapoteana 🤣🤣
Unayatamani waanze tena ili uanze kuandika vijisledi vyako vya kiuoga na utetezi wa kindezindezi?
 
Aisee mambo ya Gen Z wa Kenya yamenikumbusha mbali.

Mwanzo wa mwaka tuliona kina CHADEMA eti wanaandamana kila Jiji baadae maandamano yakayeyuka ghafla🤪🤪🤪🤪

Nini kilitokea maana walikuwa wanapewa ulinzi kabisa wakidai maisha magumu. Je, saizi maisha ni rahisi?

Swali: Maandamano ya CHADEMA yaliishiaga wapi?

My Take: Samia ni Profesa wa siasa yaani walitegenea kupata kiki kwa Polisi kuwazuia ila walivyoachwa wakapoteana 🤣🤣
Lissu kanyoosha mikono!
 
Sio wewe uliyeandika haya?

"Mwenyekiti alipokea bahasha kubwa akaamua kupotezea maandamano kijanja...inasemekana Mama Abdul alimpatia B10 awapooze wenzie...jamaa akaenda kumalizia mjengo wake"
 
Wanasiasa wa Tanzania wanatakiwa kufanya tafiti kuhusu saikolojia ya watanzania kabla ya ku-set ajenda za kisiasa.
 
Back
Top Bottom