Wakuu hivi yale Maandamano ya CHADEMA yaliishia wapi?

"nyapara" ambae ni waziri wa kilimo Tanzania na juzi kamsambaratisha mpina kumi na nane kwa bila.
Juzi Rutto kawafokea wakenya, kawaambia yeye chura kiziwi. Siku mbili baadaye kajisalimisha kwa wananchi.
 
Aisee mambo ya Gen Z wa Kenya yamenikumbusha mbali.

Mwanzo wa mwaka tuliona kina CHADEMA eti wanaandamana kila Jiji baadae maandamano yakayeyuka ghafla🤪🤪🤪🤪

Nini kilitokea maana walikuwa wanapewa ulinzi kabisa wakidai maisha magumu. Je, saizi maisha ni rahisi?

Swali: Maandamano ya CHADEMA yaliishiaga wapi?

My Take: Samia ni Profesa wa siasa yaani walitegenea kupata kiki kwa Polisi kuwazuia ila walivyoachwa wakapoteana 🤣🤣
Kwa mkoa upi, kila mkoa kulikuwa na maelekezo maandamano yaanzie wapi na yaishie wapi, hata vibali vilivyotoka polisi vilieleza njia za kuanzia na kuishia maadamano.
 
Ruto ni kibaraka na kikaragosi cha Magharibi na mazayuni, kaisaliti Afrika nzima.

Hulielewi hilo?

Yanayomkuta ni stahili yake, na huo ni mwanzo tu.
 
Chura kiziwi Rutto ulitaka awe kibaraka wa UAE? 😀 😀
 
Sikuelewi. Naona unahororoja na kubwabwaja kama mtu aliyekunywa mbege. Kama umeamka nazo, kunywa maji mengi zikutoke kisha useme kwa ufasaha unachotaka kukisema.
 
Anayepata hasara Kariakoo kwa sababu za mgomo ni Serikali au wenye maduka?

Serikali haiwezi kupata hasara sababu hii nchi ni kubwa sana na vyanzo vya mapato ni vingi sana. Serikali haitegemei kukusanya kodi Kariakoo peke yake.

Atakayeumia kwenye huo mgomo ni mfanyabiashara sababu mwisho wa mwezi atatakiwa kulipa pango na wafanyakazi. Tusubirie tuone.
Very poor thinking. Inasikitisha sana kuwa na raia wa namna kama yako.
 
Kwa mkoa upi, kila mkoa kulikuwa na maelekezo maandamano yaanzie wapi na yaishie wapi, hata vibali vilivyotoka polisi vilieleza njia za kuanzia na kuishia maadamano.
Hata Gen Z maandamano Yao Yana Maelekezo 😆😆
 
Aisee mambo ya Gen Z wa Kenya yamenikumbusha mbali.

Mwanzo wa mwaka tuliona kina CHADEMA eti wanaandamana kila Jiji baadae maandamano yakayeyuka ghafla🤪🤪🤪🤪

Nini kilitokea maana walikuwa wanapewa ulinzi kabisa wakidai maisha magumu. Je, saizi maisha ni rahisi?

Swali: Maandamano ya CHADEMA yaliishiaga wapi?

View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1806045559108874264?t=57K8CjS-fo8CBKAz4pta-A&s=19

My Take: Samia ni Profesa wa siasa yaani walitegenea kupata kiki kwa Polisi kuwazuia ila walivyoachwa wakapoteana 🤣🤣

Yalipo anzia.

NB: Bora mzee wako angetumia kinga ama 'withdraw" , hasara tupu kwa taifa!
 
Back
Top Bottom