Tukundane
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 11,993
- 9,212
Kwa hali hii watanzania tutaendelea kupigwa mpaka Yesu atakaporudi mara ya pili kutukomboa na dunia,ugumu wa maisha unamuhusu kila mtu,CHADEMA waliitisha maandamano kupinga ugumu wa maisha inaonekana maandamano ni ya CHADEMA ila ugumu wa maisha ni wa kila mtu.