ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Kuna kiongozi mwandamizi chadema anadai maandamano yalihujumiwa na na pesa chafu iliyomwagwa na mama ab...Swali: Maandamano ya CHADEMA yaliishiaga wapi?
Pesa ndio ilihujumu maandamano kivipi Sasa 🤪🤪Kuna kiongozi mwandamizi chadema anadai maandamano yalihujumiwa na na pesa chafu iliyomwagwa na mama ab...
Haki gani ambayo umeikosa hapa Tanzania?Watanzania Kila mtu ni kada wa CCM,itakuwa ngumu kudai haki Kwa njia ya maandamano pia wengi wetu vichwani bado hatujitambua.hivo ngoja tuendelee kuumia labda siku ipo tutaamka tudai haki zetu
Kajiandikishe bbt ya Bashe.Watanzania Kila mtu ni kada wa CCM,itakuwa ngumu kudai haki Kwa njia ya maandamano pia wengi wetu vichwani bado hatujitambua.hivo ngoja tuendelee kuumia labda siku ipo tutaamka tudai haki zetu
Wapi unaumia na unaumia na nani usaidiwe?dadavuaWatanzania Kila mtu ni kada wa CCM,itakuwa ngumu kudai haki Kwa njia ya maandamano pia wengi wetu vichwani bado hatujitambua.hivo ngoja tuendelee kuumia labda siku ipo tutaamka tudai haki zetu
Maandamano yalikosa waandamanaji.Aisee mambo ya Gen Z wa Kenya yamenikumbusha mbali.
Mwanzo wa mwaka tuliona kina CHADEMA eti wanaandamana kila Jiji baadae maandamano yakayeyuka ghafla🤪🤪🤪🤪
Nini kilitokea maana walikuwa wanapewa ulinzi kabisa wakidai maisha magumu. Je, saizi maisha ni rahisi?
Swali: Maandamano ya CHADEMA yaliishiaga wapi?
My Take: Samia ni Profesa wa siasa yaani walitegenea kupata kiki kwa Polisi kuwazuia ila walivyoachwa wakapoteana 🤣🤣
Anayepata hasara Kariakoo kwa sababu za mgomo ni Serikali au wenye maduka?Leo unakejeli, ila unachoona hapo Kariakoo ndio mfano wa kitachotokea Chadema wasipoandamana. Ubaya bado mnaamini Chadema ndio mpinzani, mnajidanganya.
Walimu wana maumivu, Wafanyakazi wana maumivu, Madokta wana maumivu, Wakulima wana maumivu, Polisi wana maumivu, Wanachuo wana maumivu NK
Wafanyabiashara wameanza kwa kuwaonyesha sample itavyokuwa kila mtu kwenye kada yake akiamua kutoa ya moyoni.
Brain yako inakuruhusu kukejeli ila kuna bomu mnalitengeneza wenyewe.
Unayatamani waanze tena ili uanze kuandika vijisledi vyako vya kiuoga na utetezi wa kindezindezi?Aisee mambo ya Gen Z wa Kenya yamenikumbusha mbali.
Mwanzo wa mwaka tuliona kina CHADEMA eti wanaandamana kila Jiji baadae maandamano yakayeyuka ghafla🤪🤪🤪🤪
Nini kilitokea maana walikuwa wanapewa ulinzi kabisa wakidai maisha magumu. Je, saizi maisha ni rahisi?
Swali: Maandamano ya CHADEMA yaliishiaga wapi?
My Take: Samia ni Profesa wa siasa yaani walitegenea kupata kiki kwa Polisi kuwazuia ila walivyoachwa wakapoteana 🤣🤣
Lissu kanyoosha mikono!Aisee mambo ya Gen Z wa Kenya yamenikumbusha mbali.