Wakuu hivi yale Maandamano ya CHADEMA yaliishia wapi?

"nyapara" ambae ni waziri wa kilimo Tanzania na juzi kamsambaratisha mpina kumi na nane kwa bila.
Juzi Rutto kawafokea wakenya, kawaambia yeye chura kiziwi. Siku mbili baadaye kajisalimisha kwa wananchi.
 
Kwa mkoa upi, kila mkoa kulikuwa na maelekezo maandamano yaanzie wapi na yaishie wapi, hata vibali vilivyotoka polisi vilieleza njia za kuanzia na kuishia maadamano.
 
Juzi Rutto kawafokea wakenya, kawaambia yeye chura kiziwi. Siku mbili baadaye kajisalimisha kwa wananchi.
Ruto ni kibaraka na kikaragosi cha Magharibi na mazayuni, kaisaliti Afrika nzima.

Hulielewi hilo?

Yanayomkuta ni stahili yake, na huo ni mwanzo tu.
 
Ruto ni kibaraka na kikaragosi cha Magharibi na mazayuni, kaisaliti Afrika nzima.

Hulielewi hilo?

Yanayomkuta ni stahili yake, na huo ni mwanzo tu.
Chura kiziwi Rutto ulitaka awe kibaraka wa UAE? πŸ˜€ πŸ˜€
 
Chura kiziwi Rutto ulitaka awe kibaraka wa UAE? πŸ˜€ πŸ˜€
Sikuelewi. Naona unahororoja na kubwabwaja kama mtu aliyekunywa mbege. Kama umeamka nazo, kunywa maji mengi zikutoke kisha useme kwa ufasaha unachotaka kukisema.
 
Very poor thinking. Inasikitisha sana kuwa na raia wa namna kama yako.
 
Kwa mkoa upi, kila mkoa kulikuwa na maelekezo maandamano yaanzie wapi na yaishie wapi, hata vibali vilivyotoka polisi vilieleza njia za kuanzia na kuishia maadamano.
Hata Gen Z maandamano Yao Yana Maelekezo πŸ˜†πŸ˜†
 
Yalipo anzia.

NB: Bora mzee wako angetumia kinga ama 'withdraw" , hasara tupu kwa taifa!
 
Tarehe21 sio mbali boss πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…