Hiyo style ya nyumba za Uingereza.Nimeona post inayoonesha tangazo la TCRA linalohamasisha kuwa na nyumba zenye namba kwani ni msingi wa mpangilio wa taifa
Lakini picha za nyumba walizotumia mbona kama ni nyumba za mambele wakuu.
Ina maana wameshindwa kutafuta nyumba za wananchi wao na kuzitumia kama sample mpaka wachukue picha za nyumba za mabeberu?
View: https://x.com/ConsumerCcc/status/2000468366696616086?t=AXwE7lT--34Xi79NVTdWgA&s=19
Aisee, watakutokezea huko Cornwall muda si mrefuWanajaribu kuwatisha kisaikolojia wabeba 📦 wanaopinga serikali kwamba wanafahamu nyumba zao.
Wanakaribishwa nipo hapa RAF St Magwan Air force base Newquay. Christmas ntakuwepo St Peters kwenye mkesha.Aisee, watakutokezea huko Cornwall muda si mrefu
Nimeona post inayoonesha tangazo la TCRA linalohamasisha kuwa na nyumba zenye namba kwani ni msingi wa mpangilio wa taifa