Wakuu huku watu wanauza radi!

Unataka kwenda kumzawadia mgombea?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yaan! Jamaa ni winga kabisa anauza radi
 
Huenda tukitumia Radi, watatupa Reform tunayoitaka. Tunaanza kupiga siku yao ya ufunguzi wa Kampeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…