Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Matajiri wa JF😀45k mbona bill ndogo sana.
Eeeh, wewe huwa unanyoa kwa bei gani mkuu? Huku kwetu jero tu unang’aa45k mbona bill ndogo sana.
Ubaya ubwela dunia haina huruma.Mkija kaenye Salon zetu za Uswazi tukiwambia buku mbili mnalia sana ila mkienda Barbshop kwakua kuna mademu hamlalamiki
Hizi bei ulizoziainisha hapa ndio niliozizoea ile barber shop nilishangaa. Sikutaka kubishana, kwa kuwa siku uliza awali nililipa nikasepa.Kunyoa nywele na ndevu 3,000
Scrub+steamer 5,000
Tip 2,000
Total=10,000
Hio ya 45,000 ipo wapi na jina gani?.
Ulipigwa baada ya kukuona mgeni loohHizi bei ulizoziainisha hapa ndio niliozizoea ile barber shop nilishangaa. Sikutaka kubishana, kwa kuwa siku uliza awali nililipa nikasepa.
Jina lake na ipo wapi?.Hizi bei ulizoziainisha hapa ndio niliozizoea ile barber shop nilishangaa. Sikutaka kubishana, kwa kuwa siku uliza awali nililipa nikasepa.