Wakuu huu usajili wa Wasafi Festival sijauelewa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Stereo ndo anahit kidogoo ilaa wengi hawana hit songs.. Hawawezi kuuimbisha umaa
Mkuu watakuja kukubishia tu hapa..huo ndo ukweli
 
Wapi nimepigia chapuo Fiesta...hii nchi sijui ikoje! Ni kama siasa za CHADEMA na CCM...
Hivi mtu hawezi kuwa huru na kutoa maoni yake, mimi sijauelewa huo usajiri !! Je hii ni dhambi au inamaanisha napigia chapuo fiesta??
Unafikiri kuna kitu kinaweza fanyika hii dunia kikaeleweka na wote?
 
Sasa mzee baba Hit song ni Nyimboo kaliii yanii hiyo hata Isipopigwa na kila radio utaisikia tu hata mtandaonii..! Hao kina One incredible wewe labda ndo huwa unasikia nyimbo zao radioni ilaa me nasikia za Alikiba...Mond..Mausama iokotee...whozu..Nandy hizo ndo kalii hata kama zisipopigwa sana radioni ilaa kila Mtu ataimbaa na kucheza...Sasa hiyo mistari Konki ya hiphop utamuimbisha labda mvutaa bhangiiii anaeijua hip hop hasaa sio Kina dada wala watoto...
 
Umeuelewa usajili upi!!? Usajili wao umeona mbovu kwa kulinganisha na usajili upi!? Acha kuzungukazunguka.
 
Kawaida yao kupanik.
 
Kuwadharau kina baba malcolm,Moko wa miujiza na singasinga ni sawa na kuidharau real hiphop,nyie washamba mnaochaguliwa cha kusikiliza na madj wa redio uchwara zenu mnasikitisha sana.ungekuwa karibu yangu ningekulamba kelbu za chapchap kama tano hivi akili ikukae sawa.
 
Umeuelewa usajili upi!!? Usajili wao umeona mbovu kwa kulinganisha na usajili upi!? Acha kuzungukazunguka.
Kwani lazima niuelewe usajiri wowote? Nani kakwambia kibovu lazima kilinganishwe na kingine??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Album hiyo tafuta watu hata watano random njiani waulize wimbo hata mmoja kama wanaujuaa..?? Acha ushabikii... Raha ya Festival kama hizi uwe na wasanii wenye hit songs especiall muda huu tamasha linafanyika...Mfano Darasa mwaka jana kala pesa sana za show lakini mwaka huu sababu hajatoa nyimbo watu hawana vibe nae kabisa..
 
So radio zote ni Uchwaraa maana huwa sisikii hizo song zikipigwaa... Hip hop laini kama wanayoimba Weusi na fid siku hizi kalegezaa na kina Roma.. Hizo ndo zinahit hasaa sasa wew Komaa na hayo mashairi magumu ya kina Mbishi watajisikiliza wenyewee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ha ha watu wanaojiita wagumu wanafurahishaga sana...huwa hawataki kuusikia ukweli!!
 
Diamond mwenyewe na Kondeboy wanatosha kupiga show mpaka majogoo.. bila kufanya usajili na watu wakasuuzika roho
 
Watu wa aina gani? Sababu huwezi kwenda kumuuliza muimba taarabu habari za Hip Hop, halafu mimi huwaga sifatilii hit song
 
Mawaki wengi humu kuisemea Maalim Nash
Wanamaswali ya kiwaki
 
Kila mtu ana uwanja wake, Hao uliowataja wao wanaimba nyimbo ambazo ziko soft soft zimelenga kukatisha watu viuno na kuburudisha na makelele mengi ila hamna ujumbe na ndio hizo zinapewa airtime kwenye media nyingi, ile ni biashara yao na target market yao ndio hao watoto na wadada! Lakini Tamaduni music wao wanaimba ngumu kwa kufata miko ya rap ikiwa na ujumbe flani na mistari ya kufikirisha sana, kuna target market yao ambao ndio mimi na wenzangu wote tuliokomaa kiakili ambao tunapenda wordplays zaidi kuliko makelele ya akina Laizer! Kwahio kabla huja argue lazma uwe na ufahamu wa soko la muziki mkuu!

Kwa mtazamo tu inaonesha wasanii na watu wanaopenda muziki wa kukatishana viuno ni wengi zaidi kuliko wanaopenda HipHop music kutokana na imbalanced support inayotolewa na Media houses ila haimaanishi kwamba hao wana HipHop hawana hit songs, zipo kwa upande wao ila msiopenda ni wengi hamuwezi ziona! Ila ifikie muda kuwe na balanced support sio kwa vile wengi hawapendi na Media ziache kuwajali wasanii wa HIpHop na nadhani hii ndio dhamira ya Wasafi festival, Mapinduzi ya burudani ni kuvunja nguvu za giza kwenye Media Houses Chakavu kwa kutoa evenly support kwa wasanii wote!
 
Kweli unachosema ilaa mpaka Roma kaamua kuimba soft hip hop weusi pia hata Fid inaonesha soko la Hip hop ngumu hakunaa! Na mtu huwezi imbaa tu ili ufikishe ujumbe kwa Jamii akati Unakufaa njaaa na pesa huna so mziki unakuwa haukufaidishi na ukichek unautegemea pia Nyimbo za hip hop zinaongelea matatzo yaliyopo kwenye jamii yetu hasa na inatokea ukigusa mambo ya maana kama siasa unakuwa matatani so why risking mzee???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…