Emanueli macha
Senior Member
- May 13, 2017
- 152
- 69
Moto watakao washa wasafi HAKUNA wakuzi ktk tamasha lolote tz hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo hao jamaa hawaimbi upumbavu kama mliozoea nyie ambao ndio unakuwa promoted na redio yenu ya machokoNafatilia Bongo Fleva toka 95...ebu tuambie hapa hits za hao jamaa...
Mwambie huyo choko hamjui UNJU! Wamezoea ngoma zao za kina bob junia chokret fleva ila zile ngumu za Duke Touchez hazipewagi promo mziki wao wataujuaje!Hujui mziki umekaa kishabiki,mimi hawa jamaa "One,Stereo,Uno" ni best MC tatizo nyie ndio wale mliofuata mkumbo hip hop haiuzi,hata nikuambia hiti zao huwezi jua,ila si tunao wafuatilia tunawajua
Kuna yule dogo mmoja nimemsahau jina ila anaonekana chapa ya Lunduno nilimcheki kwenye kile kipindi flani cha EATV! Dogo anapasuka sana, alitembea na beat ya sijutii nikasema NDIOOOO!!!Hivi wewe unamuona One fala? Tena inatakiwa na Nash wamuongeze hapo.
Ikibidi hata jamaa watumie hit song zao za zamani wapate kupiga hela waboreshe maisha yao kuendana na hali ya sasa!Binafsi siyo Shabiki wa Wasafi hata siku moja kutokana na nyimbo zao zisizo kuwa na maadili/ maudhui mazuri.
Lakini kwa hili la kuwatumia akina Chidi, Dudu and the like ni jambo jema na linafaa kupongezwa. Hawa watu ni wasanii waliobamba sana Bongo enzi hizo na kwasasa wengi wao maisha yao si mazuri, hivyo basi wanahitaji misaada kama hii WCB wapongezwe kwa hili tafadhali.
Sijui umekusudia nini Kiongozi,lakini kitendo chako cha kumdharau One the Incredible kimenikera na kunishangaza pia.
Hivi ni kweli kabisa hautambui uwezo wa Moko wa Miujiza?
Mzee,kuna watu wana nyimbo kama zote za One the Incredible kwenye playlists zao lakini hawana hata wimbo mmoja wa Diamond Platnumz.
Hauwezi amini,lakini kaa ukijua kuna watu watajitokeza kwa wingi huko Mtwara kwaajili ya kuwaona vijana wa Tamaduni Music wakiongozwa na Baba Malcolm.
Sijasikia chochote kuhusu Songa,ila kama na yeye atakuwepo basi Wasafi watakua wamefanya jambo la maana sana.
bora umeona hilo, promo zinatolewa kwa kiki! Ila kuna baadhi ya wasanii sio watu wa kupenda kiki, wao wanaimba style tofauti ila hawazingatiwi mainstream ni wabana pua tu!Si umesema wanaimba vitu havitrend mitandaoni. Na mimi nimekujibu sio kila kinacho trend ni dhahabu vingine vyupa
Tatizo hao jamaa hawaimbi upumbavu kama mliozoea nyie ambao ndio unakuwa promoted na redio yenu ya machoko
Ikibidi hata jamaa watumie hit song zao za zamani wapate kupiga hela waboreshe maisha yao kuendana na hali ya sasa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Stereo ndo anahit kidogoo ilaa wengi hawana hit songs.. Hawawezi kuuimbisha umaaJamaa kanishangaza kweli yaani anafananisha kitambi na mimba, wakina stereo, one, niki na wengineo wanavipaji vikubwa sana hawalazimishi wala kuunga unga habari
I used to be a valid hater wa Wasafi, i was a trully a HipHop fan hasa copy za Nako 2 Nako, Joh makini,Fid Q, JCB, Prof J, Wanaume TMK ,Juma nature, Wachuja Nafaka, Inspector, Mangwair nikaja kwa akina Lunduno ila hawa jamaa wasafi walikuja kufunika ombwe la HipHop kwa kulazimisha mziki wao kwenda mainstream na wakaungwa mkono sana hatimae kila upande ni Wasafi! It was too hard for me to still hate nikaamua kukubaliana na hali halisi kwamba sasa muziki ni wa Wasafi sasa! Hata nikinuna ndio ukweli na kadri nilivyokuwa nasikia nyimbo zao kila saa ikatokea nimezoea tu sahivi, wakitoa hit naskiliza tu!Mimi pia na UGUMU wangu wote huu nimeanza wafatilia taratibu hawa vijana wa wasafi, lakini usishangae sana ndiyo utofauti wetu binadamu
Hawa wana Hip Hop wanasikilizwa na watu wenye uwezo mkubwa tofauti na watu wengine
Ila ndiyo uhuru ulivyo kila mtu akijisihisi anaweza kuandika mada anaandika tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Stereo ndo anahit kidogoo ilaa wengi hawana hit songs.. Hawawezi kuuimbisha umaa
Ngoma inogiree wewe chiny beez mkarii ,hapo hamo pale mbosso,kwa kule rayvanny,pale countyr boy,halafu mzee mzima daimond kwanza hata daimond pekee anaweza fanya shoo na ikambamba kinomaaa
Kwani hao wa Fiesta wanawalipa hata hio nusu tu ya million kumi?Mkuki wa nguruwe hahahahahaha, ndo nakatafakari kale ka kauli ka "BILA M 10 SIFANYI SHOO" haya thatha hao unaowafanyisha shoo unawapa hiyo m 10 ili scope ya burudani ibadilike..huhuhuhuhuhu
Eyes are mine...
Hahah Tamaduni Music wako OG sana, amna nyimbo za majungu kuleIla ndiyo uhuru ulivyo kila mtu akijisihisi anaweza kuandika mada anaandika tu.
Atakama hajui lolote kuhusu hiyo mada katika watu ambao wapo siriasi na Hip Hop huwezi kutowaelewa Tamaduni mtu anatengeneza album ina nyimbo zaidi ya kumi na zote nzito
Asikilize kwanza Hisia
Kabisa aisee mimi nilikuwa sina chuki nao wasafi ila sinaga shobo na vitu soft soft kwahyo sikuwai wafatilia hawa wasafi na soft soft wengine wote ila baada ya taarifa hii kiukweli nimewaunga mkono wanapeleka shule huko mtwaraI used to be a valid hater wa Wasafi, i was a trully a HipHop fan hasa copy za Nako 2 Nako, Joh makini,Fid Q, JCB, Prof J, Wanaume TMK ,Juma nature, Wachuja Nafaka, Inspector, Mangwair nikaja kwa akina Lunduno ila hawa jamaa wasafi walikuja kufunika ombwe la HipHop kwa kulazimisha mziki wao kwenda mainstream na wakaungwa mkono sana hatimae kila upande ni Wasafi! It was too hard for me to still hate nikaamua kukubaliana na hali halisi kwamba sasa muziki ni wa Wasafi sasa! Hata nikinuna ndio ukweli na kadri nilivyokuwa nasikia nyimbo zao kila saa ikatokea nimezoea tu sahivi, wakitoa hit naskiliza tu!
Ila kwa hili wanaloenda kufanya nimefurahi sana, kama washatoboa kimuziki ni wasaa wa kuwakumbuka wengine ambao wanafanya mziki tofauti na wao ili kuleta balance maana for consecutive 9 years toka 2009 kwa mtazamo wangu ile hiphop halisi iliacha kusikika rasmi hata wale wasanii wa HipHop wengine waka diversify na kuanza kuimba vitu commercial havina mashiko tena, Madee,Joh Makini wote wanazingua tu sahivi ila ni kutokana na market forces ku favor mziki wa bigjii! Wacha tuone impact ya Wasafi ikoje maana ndo wana control game la muziki now! Hata waimbe nyimbo ya taarabu watapiga hela tu!
Kwa taarifa yako hiyo Fiesta unayoipigia chapuo sisi wapenda burudani hata bure hatuwezi kwenda. Unipangie Nandy, Whozu, Mabantu, Billnas, J melody alafu uiite show!!!? Hebu nitajie wasanii watatu tu wakubwa kabisa kibongobongo kwenye Fiesta. Hakuna lolote mnalishwa maneno tu na Mchonvu & Dozen then kwa kutokujua kwenu mziki mnakurupuka!Hawa jamaa naona promo zao zimejaa vijembe vya kila aina huku wakiongozwa na boss wao, jambo ambalo sijaona umuhimu wake maana muziki ni burudani na sio vita...
Wanajitutumua kusema ni mapinduzi ya burudani mara sijui nini...hapo nikasema ngoja nifatilie list ya wasanii nje na wao..aisee nimekuta vituko huko!!
Humo kuna akina Dudubaya ambaye hajulikani hata anaimba nn zaidi ya kupayuka Konki konki....nao wameona akina Chiny beez, moko na stereo ndio wasanii wa kufanya mapinduzi wanayohubiri...
Nyie jamaa sajirini watu wa kueleweka tutawaunga mkono na sio kutuleta akina One Incredible na Khadija Kopa ambao munawalipa laki mbili mbili...
Sasa Hit songs utazisikiaje bila kupigwa Redioni we ndezi? Imagine Diamond angekuwa hazingatiwi kwenye Media ile album yake ya Boy from Tandale ingekiki vipi? Japo ina nyimbo za kuburudisha ila kama angekuwa hazungumzwi kwamba wasafi wapo tu ila game inawatambua Tamaduni music tu, Songa, Incredible, Nikki Mbishi na ngoma zao tu kila redio zinapigwa watu wangeanzaje kujua nyimbo za Wasafi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Stereo ndo anahit kidogoo ilaa wengi hawana hit songs.. Hawawezi kuuimbisha umaa