joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Ikiwezekana na ZAIID.Hivi wewe unamuona One fala? Tena inatakiwa na Nash wamuongeze hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikiwezekana na ZAIID.Hivi wewe unamuona One fala? Tena inatakiwa na Nash wamuongeze hapo.
utakua sudi wewePanick ya nini mkuu...nisaidie ni mapinduzi gani wanayoyahubiri??
Bila kumsahau P The McIkiwezekana na ZAIID.
Teh teh ngoja lawama zianze kwenda upande wake...Mkuki wa nguruwe hahahahahaha, ndo nakatafakari kale ka kauli ka "BILA M 10 SIFANYI SHOO" haya thatha hao unaowafanyisha shoo unawapa hiyo m 10 ili scope ya burudani ibadilike..huhuhuhuhuhu
Eyes are mine...
Basi acha kulialia na bora ukae kimyaMimi ni shabiki tu, wala sio promoter na siimbi...
Unataka kila mtu aandae tamasha??
unajitekenya unacheka mwenyewe.....hakuna bestmale duniani au unapumuliwaWasani wa wasafi tu wanatosha kwa festival yote .. ao wengine ni waziada mwanzo huuu acheni paniki ...sasa sijajuwa festival ya kibakuli itaitwa kibamia festival ao hahahaha
Mkuu anzisha tamasha lakoMimi ni shabiki tu, wala sio promoter na siimbi...
Unataka kila mtu aandae tamasha??
Wanabaniwa au hawana kazi za kuwafanya wapate show? Hivi hao akina Stereo na Chiny beez wana hits gani??
Yawezekana post yako ilikuwa sahihi sana lakini pale uliposema tu chid benz sio msanii wa kuelweka nikakupuuza moja kwa mojaHawa jamaa naona promo zao zimejaa vijembe vya kila aina huku wakiongozwa na boss wao, jambo ambalo sijaona umuhimu wake maana muziki ni burudani na sio vita...
Wanajitutumua kusema ni mapinduzi ya burudani mara sijui nini...hapo nikasema ngoja nifatilie list ya wasanii nje na wao..aisee nimekuta vituko huko!!
Humo kuna akina Dudubaya ambaye hajulikani hata anaimba nn zaidi ya kupayuka Konki konki....nao wameona akina Chiny beez, moko na stereo ndio wasanii wa kufanya mapinduzi wanayohubiri...
Nyie jamaa sajirini watu wa kueleweka tutawaunga mkono na sio kutuleta akina One Incredible na Khadija Kopa ambao munawalipa laki mbili mbili...
Kwa akili yako wakueleweka ni kama akina nani vile!?Hawa jamaa naona promo zao zimejaa vijembe vya kila aina huku wakiongozwa na boss wao, jambo ambalo sijaona umuhimu wake maana muziki ni burudani na sio vita...
Wanajitutumua kusema ni mapinduzi ya burudani mara sijui nini...hapo nikasema ngoja nifatilie list ya wasanii nje na wao..aisee nimekuta vituko huko!!
Humo kuna akina Dudubaya ambaye hajulikani hata anaimba nn zaidi ya kupayuka Konki konki....nao wameona akina Chiny beez, moko na stereo ndio wasanii wa kufanya mapinduzi wanayohubiri...
Nyie jamaa sajirini watu wa kueleweka tutawaunga mkono na sio kutuleta akina One Incredible na Khadija Kopa ambao munawalipa laki mbili mbili...
We ni katoto tu na ni kisengeli generation hujui lolote kuhusu muziki mwingine.Shule ya nini na kufanya nini? Punguza mihemko..wala hujui umri wangu!!