Wakuu huu usajili wa Wasafi Festival sijauelewa

Kweli unachosema ilaa mpaka Roma kaamua kuimba soft hip hop weusi pia hata Fid inaonesha soko la Hip hop ngumu hakunaa! Na mtu huwezi imbaa tu ili ufikishe ujumbe kwa Jamii akati Unakufaa njaaa na pesa huna so mziki unakuwa haukufaidishi na ukichek unautegemea pia Nyimbo za hip hop zinaongelea matatzo yaliyopo kwenye jamii yetu hasa na inatokea ukigusa mambo ya maana kama siasa unakuwa matatani so why risking mzee???
msikilize sana nikk mbishi utamwelewa wasanii wengi choka mbaya wengine ndo hivyo wanajifanya kuimb hiphop kibiashara sasa hawa hata magari hawana
 
umewasahau wasafi wenyewe! ukitaja wasanii 10 bora East Africa wasafi wataingia more than 2! hao wengine ni supportive tu!
 
Hawa jamaa naona promo zao zimejaa vijembe vya kila aina huku wakiongozwa na boss wao, jambo ambalo sijaona umuhimu wake maana muziki ni burudani na sio vita...

Wanajitutumua kusema ni mapinduzi ya burudani mara sijui nini...hapo nikasema ngoja nifatilie list ya wasanii nje na wao..aisee nimekuta vituko huko!!

Humo kuna akina Dudubaya ambaye hajulikani hata anaimba nn zaidi ya kupayuka Konki konki....nao wameona akina Chiny beez, moko na stereo ndio wasanii wa kufanya mapinduzi wanayohubiri...

Nyie jamaa sajirini watu wa kueleweka tutawaunga mkono na sio kutuleta akina One Incredible na Khadija Kopa ambao munawalipa laki mbili mbili...
bro tafuta kwanza ile interview ya Mond wakati ana tambulisha uwepo wa wasafi festival... ukisikiliza ile ndio utaelewa...! kamaliza kila kitu mule... wewe ume rukia gari kwa mbele hacha likugonge...
 
Mnafatilia wapi mkuu...mbona kizuri kinajiuza tu!! Hao jamaa wanaimba vitu ambavyo havitrend redion wala kwenye social media...
Wanaimba nini??
Nn maana ya #Trend mkuu? Hapo ndio umedhihirisha uzwazwa maana hujajua unachoongelea
Kwa Wasafi walivyothubutu haya Ni mapinduzi kweli believe me.sio Sibuka fm ile.baada ya Efm kwa upinzani Wasafi ndio wanafuata
 
Kweli unachosema ilaa mpaka Roma kaamua kuimba soft hip hop weusi pia hata Fid inaonesha soko la Hip hop ngumu hakunaa! Na mtu huwezi imbaa tu ili ufikishe ujumbe kwa Jamii akati Unakufaa njaaa na pesa huna so mziki unakuwa haukufaidishi na ukichek unautegemea pia Nyimbo za hip hop zinaongelea matatzo yaliyopo kwenye jamii yetu hasa na inatokea ukigusa mambo ya maana kama siasa unakuwa matatani so why risking mzee???
Ila still maamuzi yanakuwa yapo kwa msanii mwenyewe, kama kina nikki mbishi wao wamekaza hawabadili style maana ngumu ndio kwao!
 
Ofcoz mzee maana hata Diamond kuimba Nyegezii ni kibiashara...
Ila still maamuzi yanakuwa yapo kwa msanii mwenyewe, kama kina nikki mbishi wao wamekaza hawabadili style maana ngumu ndio kwao!
 
Hawa jamaa naona promo zao zimejaa vijembe vya kila aina huku wakiongozwa na boss wao, jambo ambalo sijaona umuhimu wake maana muziki ni burudani na sio vita...

Wanajitutumua kusema ni mapinduzi ya burudani mara sijui nini...hapo nikasema ngoja nifatilie list ya wasanii nje na wao..aisee nimekuta vituko huko!!

Humo kuna akina Dudubaya ambaye hajulikani hata anaimba nn zaidi ya kupayuka Konki konki....nao wameona akina Chiny beez, moko na stereo ndio wasanii wa kufanya mapinduzi wanayohubiri...

Nyie jamaa sajirini watu wa kueleweka tutawaunga mkono na sio kutuleta akina One Incredible na Khadija Kopa ambao munawalipa laki mbili mbili...

WCB peke yao ni tosha kabisa......kwa sasa ndiyo the most expensive show East Africa
 
Back
Top Bottom