Wakuu huu usajili wa Wasafi Festival sijauelewa

Jamaa yupo kibiashara hao jamaa uliosema hawana hits wamewekwa kubalance shoo sababu wanafanbase kubwa kwa mashkaji wauni ndo mana utakuta kila muhuni anasema sababu hawa watu wapo na mimi nitaenda
 
Una umri gani na umeanza kufuatilia mziki lini?
Yani hujui uwezo wa singasinga chunda bad??
Huyu jamaa kakalili maisha anazani hip hop n fid na kina joh tu, kuna watu wapo vzur ila nafasi ndio awapatagi
 
Hujui mziki umekaa kishabiki,mimi hawa jamaa "One,Stereo,Uno" ni best MC tatizo nyie ndio wale mliofuata mkumbo hip hop haiuzi,hata nikuambia hiti zao huwezi jua,ila si tunao wafuatilia tunawajua
Mnafatilia wapi mkuu...mbona kizuri kinajiuza tu!! Hao jamaa wanaimba vitu ambavyo havitrend redion wala kwenye social media...
Wanaimba nini??
 
Havitrend kwako ila kwa wenzio vinatrend.Alafu kuhusu swala la trend WCB ndio home(Boomplay,Itune,Sportfy,Youtube,Fb,Insta zote zao),sasa ukitaka tupime ubora wa matamasha kwa trend nina uhakika wengine wataimbia viti .
 
Mnafatilia wapi mkuu...mbona kizuri kinajiuza tu!! Hao jamaa wanaimba vitu ambavyo havitrend redion wala kwenye social media...
Wanaimba nini??
Wanaotrend mitandaoni kina mobeto na nyimbo zao mbovu.
 
Hawa jamaa naona promo zao zimejaa vijembe vya kila aina huku wakiongozwa na boss wao, jambo ambalo sijaona umuhimu wake maana muziki ni burudani na sio vita...

Wanajitutumua kusema ni mapinduzi ya burudani mara sijui nini...hapo nikasema ngoja nifatilie list ya wasanii nje na wao..aisee nimekuta vituko huko!!

Humo kuna akina Dudubaya ambaye hajulikani hata anaimba nn zaidi ya kupayuka Konki konki....nao wameona akina Chiny beez, moko na stereo ndio wasanii wa kufanya mapinduzi wanayohubiri...

Nyie jamaa sajirini watu wa kueleweka tutawaunga mkono na sio kutuleta akina One Incredible na Khadija Kopa ambao munawalipa laki mbili mbili...
tumekusikia kibopa wa twangala
 
Nimefatilia comments zote. Watu wanatokwa na MAPOVU mpaka mnatukanana. Hivi nani anajua mmiliki wa DIAMOND KARANGA na CHIBU PAFUM. Na Siku KUSAGA atakapoweka ukweli watu wote mtajiona MAZUZU.
 
Binafsi siyo Shabiki wa Wasafi hata siku moja kutokana na nyimbo zao zisizo kuwa na maadili/ maudhui mazuri.

Lakini kwa hili la kuwatumia akina Chidi, Dudu and the like ni jambo jema na linafaa kupongezwa. Hawa watu ni wasanii waliobamba sana Bongo enzi hizo na kwasasa wengi wao maisha yao si mazuri, hivyo basi wanahitaji misaada kama hii WCB wapongezwe kwa hili tafadhali.
 
Hawa jamaa naona promo zao zimejaa vijembe vya kila aina huku wakiongozwa na boss wao, jambo ambalo sijaona umuhimu wake maana muziki ni burudani na sio vita...

Wanajitutumua kusema ni mapinduzi ya burudani mara sijui nini...hapo nikasema ngoja nifatilie list ya wasanii nje na wao..aisee nimekuta vituko huko!!

Humo kuna akina Dudubaya ambaye hajulikani hata anaimba nn zaidi ya kupayuka Konki konki....nao wameona akina Chiny beez, moko na stereo ndio wasanii wa kufanya mapinduzi wanayohubiri...

Nyie jamaa sajirini watu wa kueleweka tutawaunga mkono na sio kutuleta akina One Incredible na Khadija Kopa ambao munawalipa laki mbili mbili...

Hivi wewe unamuona One fala? Tena inatakiwa na Nash wamuongeze hapo.
 
Back
Top Bottom