Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jide .Mkuu unaamini watu wanabaniwa...ukiwa na kazi nzuri sokoni kila mtu atataka afanye kazi na ww!!
Niambie nani amewahi kuwa hits sokoni alafu akabaniwa...
Hujui mziki umekaa kishabiki,mimi hawa jamaa "One,Stereo,Uno" ni best MC tatizo nyie ndio wale mliofuata mkumbo hip hop haiuzi,hata nikuambia hiti zao huwezi jua,ila si tunao wafuatilia tunawajuaHapa sio suala la kupenda au kutopenda...ebu weka ngoma zao kali hapa au zitaje nikazitafute!!
Huyu jamaa kakalili maisha anazani hip hop n fid na kina joh tu, kuna watu wapo vzur ila nafasi ndio awapatagiUna umri gani na umeanza kufuatilia mziki lini?
Yani hujui uwezo wa singasinga chunda bad??
Mnafatilia wapi mkuu...mbona kizuri kinajiuza tu!! Hao jamaa wanaimba vitu ambavyo havitrend redion wala kwenye social media...Hujui mziki umekaa kishabiki,mimi hawa jamaa "One,Stereo,Uno" ni best MC tatizo nyie ndio wale mliofuata mkumbo hip hop haiuzi,hata nikuambia hiti zao huwezi jua,ila si tunao wafuatilia tunawajua
Havitrend kwako ila kwa wenzio vinatrend.Alafu kuhusu swala la trend WCB ndio home(Boomplay,Itune,Sportfy,Youtube,Fb,Insta zote zao),sasa ukitaka tupime ubora wa matamasha kwa trend nina uhakika wengine wataimbia viti .Mnafatilia wapi mkuu...mbona kizuri kinajiuza tu!! Hao jamaa wanaimba vitu ambavyo havitrend redion wala kwenye social media...
Wanaimba nini??
Wanaotrend mitandaoni kina mobeto na nyimbo zao mbovu.Mnafatilia wapi mkuu...mbona kizuri kinajiuza tu!! Hao jamaa wanaimba vitu ambavyo havitrend redion wala kwenye social media...
Wanaimba nini??
Si umesema wanaimba vitu havitrend mitandaoni. Na mimi nimekujibu sio kila kinacho trend ni dhahabu vingine vyupaKwahiyo kumbe mitandao sio issue tena? Mbona mnasifiaga views za youtube?
tumekusikia kibopa wa twangalaHawa jamaa naona promo zao zimejaa vijembe vya kila aina huku wakiongozwa na boss wao, jambo ambalo sijaona umuhimu wake maana muziki ni burudani na sio vita...
Wanajitutumua kusema ni mapinduzi ya burudani mara sijui nini...hapo nikasema ngoja nifatilie list ya wasanii nje na wao..aisee nimekuta vituko huko!!
Humo kuna akina Dudubaya ambaye hajulikani hata anaimba nn zaidi ya kupayuka Konki konki....nao wameona akina Chiny beez, moko na stereo ndio wasanii wa kufanya mapinduzi wanayohubiri...
Nyie jamaa sajirini watu wa kueleweka tutawaunga mkono na sio kutuleta akina One Incredible na Khadija Kopa ambao munawalipa laki mbili mbili...
Una umri gani na umeanza kufuatilia mziki lini?
Yani hujui uwezo wa singasinga chunda bad??
Hawa jamaa naona promo zao zimejaa vijembe vya kila aina huku wakiongozwa na boss wao, jambo ambalo sijaona umuhimu wake maana muziki ni burudani na sio vita...
Wanajitutumua kusema ni mapinduzi ya burudani mara sijui nini...hapo nikasema ngoja nifatilie list ya wasanii nje na wao..aisee nimekuta vituko huko!!
Humo kuna akina Dudubaya ambaye hajulikani hata anaimba nn zaidi ya kupayuka Konki konki....nao wameona akina Chiny beez, moko na stereo ndio wasanii wa kufanya mapinduzi wanayohubiri...
Nyie jamaa sajirini watu wa kueleweka tutawaunga mkono na sio kutuleta akina One Incredible na Khadija Kopa ambao munawalipa laki mbili mbili...
yaan unapoteza muda wako kubishana na soudy brownSi umesema wanaimba vitu havitrend mitandaoni. Na mimi nimekujibu sio kila kinacho trend ni dhahabu vingine vyupa
Dada napenda jinc unavojibu kwa umakini, God bless you maana mtenda hakiWanaotrend mitandaoni kina mobeto na nyimbo zao mbovu.