Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
msikilize sana nikk mbishi utamwelewa wasanii wengi choka mbaya wengine ndo hivyo wanajifanya kuimb hiphop kibiashara sasa hawa hata magari hawanaKweli unachosema ilaa mpaka Roma kaamua kuimba soft hip hop weusi pia hata Fid inaonesha soko la Hip hop ngumu hakunaa! Na mtu huwezi imbaa tu ili ufikishe ujumbe kwa Jamii akati Unakufaa njaaa na pesa huna so mziki unakuwa haukufaidishi na ukichek unautegemea pia Nyimbo za hip hop zinaongelea matatzo yaliyopo kwenye jamii yetu hasa na inatokea ukigusa mambo ya maana kama siasa unakuwa matatani so why risking mzee???
bro tafuta kwanza ile interview ya Mond wakati ana tambulisha uwepo wa wasafi festival... ukisikiliza ile ndio utaelewa...! kamaliza kila kitu mule... wewe ume rukia gari kwa mbele hacha likugonge...Hawa jamaa naona promo zao zimejaa vijembe vya kila aina huku wakiongozwa na boss wao, jambo ambalo sijaona umuhimu wake maana muziki ni burudani na sio vita...
Wanajitutumua kusema ni mapinduzi ya burudani mara sijui nini...hapo nikasema ngoja nifatilie list ya wasanii nje na wao..aisee nimekuta vituko huko!!
Humo kuna akina Dudubaya ambaye hajulikani hata anaimba nn zaidi ya kupayuka Konki konki....nao wameona akina Chiny beez, moko na stereo ndio wasanii wa kufanya mapinduzi wanayohubiri...
Nyie jamaa sajirini watu wa kueleweka tutawaunga mkono na sio kutuleta akina One Incredible na Khadija Kopa ambao munawalipa laki mbili mbili...
Wapi nimesema nimeielewa Fiesta?
Unajua kusoma?
Nn maana ya #Trend mkuu? Hapo ndio umedhihirisha uzwazwa maana hujajua unachoongeleaMnafatilia wapi mkuu...mbona kizuri kinajiuza tu!! Hao jamaa wanaimba vitu ambavyo havitrend redion wala kwenye social media...
Wanaimba nini??
Ila still maamuzi yanakuwa yapo kwa msanii mwenyewe, kama kina nikki mbishi wao wamekaza hawabadili style maana ngumu ndio kwao!Kweli unachosema ilaa mpaka Roma kaamua kuimba soft hip hop weusi pia hata Fid inaonesha soko la Hip hop ngumu hakunaa! Na mtu huwezi imbaa tu ili ufikishe ujumbe kwa Jamii akati Unakufaa njaaa na pesa huna so mziki unakuwa haukufaidishi na ukichek unautegemea pia Nyimbo za hip hop zinaongelea matatzo yaliyopo kwenye jamii yetu hasa na inatokea ukigusa mambo ya maana kama siasa unakuwa matatani so why risking mzee???
Ila still maamuzi yanakuwa yapo kwa msanii mwenyewe, kama kina nikki mbishi wao wamekaza hawabadili style maana ngumu ndio kwao!
Hivi Salu T yuko wapi skuizi?,sijamsikia kitamboMawaki wengi humu kuisemea Maalim Nash
Wanamaswali ya kiwaki
Hawa jamaa naona promo zao zimejaa vijembe vya kila aina huku wakiongozwa na boss wao, jambo ambalo sijaona umuhimu wake maana muziki ni burudani na sio vita...
Wanajitutumua kusema ni mapinduzi ya burudani mara sijui nini...hapo nikasema ngoja nifatilie list ya wasanii nje na wao..aisee nimekuta vituko huko!!
Humo kuna akina Dudubaya ambaye hajulikani hata anaimba nn zaidi ya kupayuka Konki konki....nao wameona akina Chiny beez, moko na stereo ndio wasanii wa kufanya mapinduzi wanayohubiri...
Nyie jamaa sajirini watu wa kueleweka tutawaunga mkono na sio kutuleta akina One Incredible na Khadija Kopa ambao munawalipa laki mbili mbili...
Hivi Salu T yuko wapi skuizi?,sijamsikia kitambo
Jamaa anaflow yakibabe sana yeye na hashim dogo,kuna nyimbo yake moja hivi produced by chizan brain jina limenitoka naikubali sana.Yuko mbeya ....Meneja wa Kituo cha Mafuta pale