Wakuu huyu 'Mama Ntilie' anapataje faida? Naona kama nimefaidi zaidi Ugali mboga 7

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babu wewe mkali anakutega huyo ohoo bomu linaandaliwa wewe hujui tu [emoji23][emoji23][emoji23]
We sema tu hunitaki, sio unaleta visababu kama vya ununuzi wa korosho
 
Mhh ugali samak kwa 1500??
Wafanyakazi wa manispaa ya kinondoni mbona wana kula sana ugali wa samaki wa buku jero na unakuwa na mboga zote kama ilizotaja apo muheshimiwa.

Kuna wadada wana toka sokoni kuja kufanya delivery ma ofisini mwao.mpk Mimi najiulizaga faida wana pata ukizingatia n dar:


Kule kwetu hakuna shida maana Michele ma unga, mama mboga, samaki, ng'ombe ni wengi
 
good
 
Nafikiri ungemuuliza yeye,afu 1500kama kubwa vile,huku kwetu ni buku tu wali nyama,maharage na vegetable vivyo hivyo ugali nyama,dagaa,vegetable n.k
Huyo anaetoza 1500 anapata super profit
Ntafutie ka eneo namba one nije niweke mwaro mkuu
 
Sisi ambao hatuna wakutupikia kuna mda vitu kama ivo tunamwachia mungu, maana
nahisi tokea nianze kula kwao ni mungu tu anatulinda

Sema wanajua kupika na vyakula vyao vitamu
 
Samaki kipande dagaa kidogo mboga za majani kidogo Nyama finyango 2 inawezekana wazee
 
Ubungo wanapojenga fly over pale darajani maji shilingi efu moja
Wali dagaa, njegere, mchicha..
Ka umezoea kiepe yai plate ya pale humalizi..

Buguruni pale chama pilau kachumbari na nyama mbili pia buku..

At your own risk[emoji16]
 
Nyama ndaza Ndio nini?
Na hao kuku je?
 
Ubungo wanapojenga fly over pale darajani maji shilingi efu moja
Wali dagaa, njegere, mchicha..
Ka umezoea kiepe yai plate ya pale humalizi..

Buguruni pale chama pilau kachumbari na nyama mbili pia buku..

At your own risk[emoji16]
buguruni, mhhh

yasijekuwa malapulapu ya nyama kutoka vingunguti.
unaweza kula ngozi iliyochunwa unadanganywa ni steki.


prof matunduizi
 
Ndo unachowaza tu
Mtu usipo jitambua unateseka sana, kwanini asirudi kwao hata kama ni kijijini kuliko kuteseka hivyo, hao mateja na wao huwa hawapati hapo kweli kuosha mikia yao jamani?
 
Nikizidiwa huwa nabonyea hapo huwa sinywagi maji yao tu ila kuna raia hadi maji wanakunywa..
Ukiiga tubakukuta muhimbili na dripu
buguruni, mhhh

yasijekuwa malapulapu ya nyama kutoka vingunguti.
unaweza kula ngozi iliyochunwa unadanganywa ni steki.


prof matunduizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…