kuna mshikaji ni chinga pale buguruni mnyamani alinipeleka Kwa mama ntilie dah sikuamini nikabaki nashangaa tu sema ilinibidi nikubali ili nisimuuzi mshikaji nilipiga msosi huku nawaza Ila wao wanapiga msosi bila wasiwasi na story juu ..Ila maji yao niligoma.Tuwaachie wenye fani zaoNikizidiwa huwa nabonyea hapo huwa sinywagi maji yao tu ila kuna raia hadi maji wanakunywa..
Ukiiga tubakukuta muhimbili na dripu