kuna mshikaji ni chinga pale buguruni mnyamani alinipeleka Kwa mama ntilie dah sikuamini nikabaki nashangaa tu sema ilinibidi nikubali ili nisimuuzi mshikaji nilipiga msosi huku nawaza Ila wao wanapiga msosi bila wasiwasi na story juu ..Ila maji yao niligoma.Tuwaachie wenye fani zaoNikizidiwa huwa nabonyea hapo huwa sinywagi maji yao tu ila kuna raia hadi maji wanakunywa..
Ukiiga tubakukuta muhimbili na dripu
hahahaa..mm hku mambo ni kama hayawe mboga saba ebu tuache kidogo..huwezi elewa diet zetu π π
Wafanyakazi wa manispaa ya kinondoni mbona wana kula sana ugali wa samaki wa buku jero na unakuwa na mboga zote kama ilizotaja apo muheshimiwa.
Kuna wadada wana toka sokoni kuja kufanya delivery ma ofisini mwao.mpk Mimi najiulizaga faida wana pata ukizingatia n dar:
Kule kwetu hakuna shida maana Michele ma unga, mama mboga, samaki, ng'ombe ni wengi
sasa minono kama hiyo ndio fungu sh ngapi sasa? mi ndo mana namwambiaga mr morogoro asishindane na wewe,mbishi Haya sasa aje nae atupie dagaa wake tuwaone...πππhahahaa..mm hku mambo ni kama hayaView attachment 1106446View attachment 1106446
sasa minono kama hiyo ndio fungu sh ngapi sasa? mi ndo mana namwambiaga mr morogoro asishindane na wewe,mbishi Haya sasa aje nae atupie dagaa wake tuwaone...πππ
Ndo unachowaza tu
sema we nawe hujui mavituz ndo mana nasema wewe mboga saba...nguruka ni watamu hatari hatari...Nguruka na dagaaa kinachokaa muda mrefu nini sasa na wewe Chibonge...Nguruka hapo niπMorogoro kuna samak fulan maarufu balaa..wanaitwa Nguruka..jaman mm wale samak had huwa nasisimka..vta ajabuuu vimekauΓshwa na maweseπππ..unaweza kuta samak ana miez hata 8 ww unamla leo..hhaha bora nile ugal mchicha aisee...hahaa Mr morogoro yule mluguru
kuna mshikaji ni chinga pale buguruni mnyamani alinipeleka Kwa mama ntilie dah sikuamini nikabaki nashangaa tu sema ilinibidi nikubali ili nisimuuzi mshikaji nilipiga msosi huku nawaza Ila wao wanapiga msosi bila wasiwasi na story juu ..Ila maji yao niligoma.Tuwaachie wenye fani zao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kule si ndiyo supu unachagua kwenye jungu kisha unakatiwa katiwa katika kibao uwiiii jamani!buguruni, mhhh
yasijekuwa malapulapu ya nyama kutoka vingunguti.
unaweza kula ngozi iliyochunwa unadanganywa ni steki.
prof matunduizi
sema we nawe hujui mavituz ndo mana nasema wewe mboga saba...nguruka ni watamu hatari hatari...Nguruka na dagaaa kinachokaa muda mrefu nini sasa na wewe Chibonge...Nguruka hapo niπ
Si wote wachafu, wapo wasafi kabisa unakula kabisa bila wasiwasiSisi ambao hatuna wakutupikia kuna mda vitu kama ivo tunamwachia mungu, maana
nahisi tokea nianze kula kwao ni mungu tu anatulinda
Sema wanajua kupika na vyakula vyao vitamu
wale huwajuliii banaaa..sio ukiwafata tu unawachukua na kuwachoma...Unawaloeka kwanza unawasahau hata nusu saa au lisaa wanachuja chumvi..bada unawachukua unawatia Limao na pili pili na vikorombwezo vingine kisha ndio unawachoma...eeeh bwana weeeeeeeeeeee π π π π usinifanye niskie njaaa saizi nshajishbia wali wangu wa buku jero.unakula Nguruka???πππ uwiii...jaman u awezaje kuwala.wale wamekauka vileππππ...ndo maana hunenepiπ
Wale samaki inahitaji moyo, kama hujawazoea mmmm mie nakula majani ya maboga basi nakauzu mbona safi tuunakula Nguruka???[emoji58][emoji58][emoji58] uwiii...jaman u awezaje kuwala.wale wamekauka vile[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]...ndo maana hunenepi[emoji56]
hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kule si ndiyo supu unachagua kwenye jungu kisha unakatiwa katiwa katika kibao uwiiii jamani!
nguruka wa ukweli sana ila mkuu wanavimichanga alfu wanawasha.wale huwajuliii banaaa..sio ukiwafata tu unawachukua na kuwachoma...Unawaloeka kwanza unawasahau hata nusu saa au lisaa wanachuja chumvi..bada unawachukua unawatia Limao na pili pili na vikorombwezo vingine kisha ndio unawachoma...eeeh bwana weeeeeeeeeeee π π π π usinifanye niskie njaaa saizi nshajishbia wali wangu wa buku jero.
kale mi samaki yako Pacha ake peter msechu weweππ
wale huwajuliii banaaa..sio ukiwafata tu unawachukua na kuwachoma...Unawaloeka kwanza unawasahau hata nusu saa au lisaa wanachuja chumvi..bada unawachukua unawatia Limao na pili pili na vikorombwezo vingine kisha ndio unawachoma...eeeh bwana weeeeeeeeeeee π π π π usinifanye niskie njaaa saizi nshajishbia wali wangu wa buku jero.
kale mi samaki yako Pacha ake peter msechu weweππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kicha cha mbuzi, ila walevi inawasaidia sana unashangaa uliko kg ya nyama buku 7,hahahaha
kule ukienda saa kumi usiku unaweza kununua supu ya kichwa cha mbuzi buku na chai.
ila usiulizeulize na kuchokonoa maswali mengi.