tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Mkapa anajutia huko aliko alikatazwa kumpa huyu m...mf...u..s...k ....nafasi UrahisiiiWakuu tangu majuzi siku ya tarehe 07 Oktoba, 2025 siku ambayo Jakaya Kikwete amezaliwa kumeibuka ukimyaa sana kuhusu yeye, hatumuoni tena kwenye mikutano ya kampeni za CCM zinazoendelea za kusaka kura kama alivyokuwa akionekana awali kwenye mikutano hiyo.
Sasa tuhesabu nini hapo, Mola anataka kumpenda zaidi au ndio yupo chimbo bado anaendelea kusherehekea birthday yake?
View attachment 3486523
KIFO NI KIFO TU, ASIZUE TAHARUKI.Wakuu tangu majuzi siku ya tarehe 07 Oktoba, 2025 siku ambayo Jakaya Kikwete amezaliwa kumeibuka ukimyaa sana kuhusu yeye, hatumuoni tena kwenye mikutano ya kampeni za CCM zinazoendelea za kusaka kura kama alivyokuwa akionekana awali kwenye mikutano hiyo.
Sasa tuhesabu nini hapo, Mola anataka kumpenda zaidi au ndio yupo chimbo bado anaendelea kusherehekea birthday yake?
Kapumzika kwa amani au kwa shari?Atakuwa amepumzika kwake Msoga.
Yupo sana. Anapumzika baada ya mikutano mingi na mwisho kumalizika kwa mkoa wa Pwani ambako ndio nyumbani. Atarejea pundeWakuu tangu majuzi siku ya tarehe 07 Oktoba, 2025 siku ambayo Jakaya Kikwete amezaliwa kumeibuka ukimyaa sana kuhusu yeye, hatumuoni tena kwenye mikutano ya kampeni za CCM zinazoendelea za kusaka kura kama alivyokuwa akionekana awali kwenye mikutano hiyo.
Sasa tuhesabu nini hapo, Mola anataka kumpenda zaidi au ndio yupo chimbo bado anaendelea kusherehekea birthday yake?