Na hapo kaona sjui vya buku buku🙌🏾Sasa si utashinda umezima,kazi unafanya saa ngapi?
Itakuchukua muda mrefu sana kutoboa kwenye maisha
Sema nini...hiki ndio kinakutia uchizi sio hivyo vinguo
😅😅😅😅 Safi sana mzee
😅😅😅 na kaziona nyingiHebu zimia tuone
Ya rangi gani haswa?Hasa ikiwa imevaliwa mkuu