Wakuu,kiukweli nikionaga hivi vitu huwa nazimia

Wakuu,kiukweli nikionaga hivi vitu huwa nazimia

Punguza kujimwambafai mkuu
Hatuwez kuwa sawa unafikiri wote tunakaa mpuguso?
Lingerie haziuzwi laki ni kuanzia 10000..
Sasa kuvaa chupi au boxa ya 10k ni kujimwambafai?

Au wewe mpaka leo unavaa boxa za 5000?...
 
Back
Top Bottom