Na hapo kaona sjui vya buku bukuππΎSasa si utashinda umezima,kazi unafanya saa ngapi?
Itakuchukua muda mrefu sana kutoboa kwenye maisha
Sema nini...hiki ndio kinakutia uchizi sio hivyo vinguo
π π π π Safi sana mzee
π π π na kaziona nyingiHebu zimia tuone
Ya rangi gani haswa?Hasa ikiwa imevaliwa mkuu