Wakuu kuna dawa gani ya kienyeji ya koo linalouma? Hospitalini napewa tu brufen na anti-biotics ila wapi

Top Gun

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2024
Posts
257
Reaction score
860
Wakuu kuna dawa gani ya kienyeji ya koo linalouma? Hospitalini napewa tu brufen na anti-biotics ila wapi

Karibuni
 
Wakuu kuna dawa gani ya kienyeji ya koo linalouma? Hospitalini napewa tu brufen na anti-biotics ila wapi

Karibuni
umeenda kituo cha afya cha level ipi, na antibiotic gani unapewa, maana sio kila antibiotic inafaa kwa infection za koo, ushauli inabidi uende hospitali ambapo unaweza muona daktari wa masikio,pua na koo (ENT)
 
Chemsha chai ya tangawizi iwe kali kidogo changanya na limao.
kisha unywe angalau kwa siku tatu.

Pata kitunguu swaumu tafuna/meza baada ya kuzikatakata, punje Tano hadi saba. Hii ni nzuri kama hauna tatizo la PRESHA ya kushuka.

Pia baada ya kufanya hayo uwe unatafuna hiyo tangawizi au karafuu kama bigijii vile, Kila ukipata muda wa kufanya hivyo.

Fanya Hivyo baada ya siku tatu utaona mabadiliko au kupona kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…