Mie Tena!HebuTumia akili
Nyetoh mbaya sanaTumemzika majuzi tu hapa, ubwabwa wa msiba jana ndo tulikuwa tunamalizia makoko.
Fala wewe kijana.Nyetoh mbaya sana
Ngoja nikutrack nikutekeFala wewe kijana.
AlaaaaaahNgoja nikutrack nikuteke
Nipo hapa mkuu kwamba ulikuwa hujui muda wooote huuu😂Wa kuitwa Tumia akili kapotelea wapi!? au alitandikwa ya kwenye masaburi wakati wa maandamano? Mbona utabiri wake umeenda alijojo? naambiwa jamaa uko alipo haamini kabisa kilichotokea, tofauti na mikwala yake, wajanja wamepindua meza!
mambo ya elimu ya faraqi
Ndio umekuja kwa style hiyo?Wa kuitwa Tumia akili kapotelea wapi!? au alitandikwa ya kwenye masaburi wakati wa maandamano? Mbona utabiri wake umeenda alijojo? naambiwa jamaa uko alipo haamini kabisa kilichotokea, tofauti na mikwala yake, wajanja wamepindua meza!
mambo ya elimu ya faraqi
Akili zako ndo zimeishia hapo we kibaraka wa mbogamboga.Ngoja nikutrack nikuteke
Jiandae dogo aga kwenu kabisa , ngoja niingie mzigoniAkili zako ndo zimeishia hapo we kibaraka wa mbogamboga.
Matope kabisa.Jiandae dogo aga kwenu kabisa , ngoja niingie mzigoni
Tafuta passport kabisa uombe hifadhi nchi jirani hapo Dar nakutrack chap tena kwa wapuuzi kama wewe ambao hamna hata familia huwa sina huruma hata kidogoMatope kabisa.
Kamezwa na chatuBritanica yupo kweli
Ahahaha.. kamezwa na chatu labdaMwamba Tumia Akili alikuwa anaposti nyuzi za kuvutia sana sema katupotea ghafla