Wakuu kuna mishangazi ina joto, asikwambie mtu

Kuna muda lile joto namna lilivyokuwa linapita kwenye paja langu lilisambaa hadi nikaanza kulihisi kwenye mkuyenge, na hapo hapo mkuyenge ulianza kujaa upepo ila nilijitahidi sana kupeleka mawazo mbali kidogo ili nisije leta fedheha kwenye gari.
πŸ–•πŸ½πŸ–•πŸ½πŸ–•πŸ½
 
U

Usemacho ni kweli kabisa, mi mmoja ilikuwa kwenye bajaji tumepanda aisee lile joto hapana paja linaunguza mpaka unaweza hisi ana homaa tena malaria kali, nikawaza kama nje tu hivi, huko ndani si balaa TK 2 tu wakoloni hawa hapa

So pisi ukiona sekunde wazungu usilaumu kwanza jitathmni, inawezekana mautamu yamezidi
 
Wee cazee uko bar?! Mbona unayatupa maneno hivo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Toka lini ndugu wakafanya mchezo mbaya?!
Hahaha wala siko Bar, niko bedstuy nimechill. Hakuna undugu wa damu so what happens in the garage stays in the garage!
 
Hahaha wala siko Bar, niko bedstuy nimechill. Hakuna undugu wa damu so what happens in the garage stays in the garage!
Basi kuna kitu kikali unatumia 🀣🀣🀣
Ko umemkazia wizo?
BICHWA KOMWE - nimejitahidi kukuweka kwa bro nimechemka etii kakaza anakuogopa una kengere 🀣🀣🀣
 
Mkuu bora umechangia na kutoa ushuhuda watu wengine naona wanadhani masiala hii kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…