Wakuu kuna mishangazi ina joto, asikwambie mtu

Wakuu kuna mishangazi ina joto, asikwambie mtu

Da yaani wewe jamaa wewe..hakika umenihizunisha hapo mwisho wa story yako..hivi kweli wanaume ndio tulikubalina hivyo kweli ukikutana na toto ulilolielewa?yaani joto la mguso tu na wewe ukaona fresh na ukaridhika?no muendelezo..aisee
[emoji16][emoji16][emoji16] mkuu principles za maisha kuzingatia ni muhimu pia.
 
Joto la binadamu ni 37 centigrade,likizidi au kupungua basi huyo mtu anaumwa🤔. Umepima joto la mishangazi ukakuta limezidi kwa centigrade ngapi?
 
U


Usemacho ni kweli kabisa, mi mmoja ilikuwa kwenye bajaji tumepanda aisee lile joto hapana paja linaunguza mpaka unaweza hisi ana homaa tena malaria kali, nikawaza kama nje tu hivi, huko ndani si balaa TK 2 tu wakoloni hawa hapa

So pisi ukiona sekunde wazungu usilaumu kwanza jitathmni, inawezekana mautamu yamezidi
Mkuu acha tu, mimi nimetoa shuhuda hapa ila kuna baadhi ya wadau wananishushia matusi utadhani wao hawana hisia ni maroboti.
 
Leo asubuhi nilikuwa na safari fupi kutoka Kili kwenda A-Town. Nilipofika stendi niliingia kwenye coaster ambayo ilikuwa imeshajaza abiria tayari.

Hivyo konda akachombeza kimtindo hapo nikakaa katikati mwa seat ambapo huwa kuna ka-seat kadogo ivi. Basi chuma akapiga mafuta kituo hadi kituo watu wakawa wanapungua.

Basi baadae ivi watu wakawa wamebaki kidogo kwenye ile seat niliyokuwa nimekaa nikasogea upande ambao kuna lishangazi jeupe hivi lilikuwa limevalia kasketi kafupi ivi keusi vile vinavyobana mwili fresh kabisa.

Kwa umbo lake lishangazi lilikuwa na nyama ivi za wastani ila zimekaa fresh kinoma na mahips ya kiuchokozi kabisa mtu wangu.

Basi mwanaume nikakaa nikatulia kimtindo, sasa kwa sababu ya zile hips zake na minyamanyama ile alooh paja lake la mguu wa kushoto likabanana la langu la mguu wa kulia kuanzia muda ule hadi liliposhuka kituo cha Philips karibu na jengo jipya la PAPU.

Wakuu kusema ukweli lile joto lililokuwa linatoka kwenye paja la hilo lishangazi kuingia kwenye paja langu nilihisi raha moja hiyo hatari sana kwa muda wote huo nikiwa nimekaa tuli.

Baadae ivi kadri tulivyokuwa tunaenda lishangazi lilianza kusinzia wakuu na kichwa chake kuanza kuyumba na kuanza kukosakosa kugonga kioo cha dirisha.

Kuna muda lile joto namna lilivyokuwa linapita kwenye paja langu lilisambaa hadi nikaanza kulihisi kwenye mkuyenge, na hapo hapo mkuyenge ulianza kujaa upepo ila nilijitahidi sana kupeleka mawazo mbali kidogo ili nisije leta fedheha kwenye gari.

Kumaliza tu, kama kuna mishangazi ya namna hii kwenye platform hii popote mlipo mjengewe minara yenu. [emoji119][emoji119]
Vijana kama nyie mna mchango mdogo katika maendeleo ya taifa letu
 
Back
Top Bottom