Wakuu kuna mishangazi ina joto, asikwambie mtu

Kijana Mh Rais kasema kipaumbele kwa sasa ni uokozi wa mafuliko ya hanang'. Tokapa lione hebu kuwa mzalendo
 
Hujawahi soma current electricity!!?go back!electricuted individual are always hot like they have fever!!!
Leo asubuhi nilikuwa na safari fupi kutoka Kili kwenda A-Town. Nilipofika stendi niliingia kwenye coaster ambayo ilikuwa imeshajaza abiria tayari.

Hivyo konda akachombeza kimtindo hapo nikakaa katikati mwa seat ambapo huwa kuna ka-seat kadogo ivi. Basi chuma akapiga mafuta kituo hadi kituo watu wakawa wanapungua.

Basi baadae ivi watu wakawa wamebaki kidogo kwenye ile seat niliyokuwa nimekaa nikasogea upande ambao kuna lishangazi jeupe hivi lilikuwa limevalia kasketi kafupi ivi keusi vile vinavyobana mwili fresh kabisa.

Kwa umbo lake lishangazi lilikuwa na nyama ivi za wastani ila zimekaa fresh kinoma na mahips ya kiuchokozi kabisa mtu wangu.

Basi mwanaume nikakaa nikatulia kimtindo, sasa kwa sababu ya zile hips zake na minyamanyama ile alooh paja lake la mguu wa kushoto likabanana la langu la mguu wa kulia kuanzia muda ule hadi liliposhuka kituo cha Philips karibu na jengo jipya la PAPU.

Wakuu kusema ukweli lile joto lililokuwa linatoka kwenye paja la hilo lishangazi kuingia kwenye paja langu nilihisi raha moja hiyo hatari sana kwa muda wote huo nikiwa nimekaa tuli.

Baadae ivi kadri tulivyokuwa tunaenda lishangazi lilianza kusinzia wakuu na kichwa chake kuanza kuyumba na kuanza kukosakosa kugonga kioo cha dirisha.

Kuna muda lile joto namna lilivyokuwa linapita kwenye paja langu lilisambaa hadi nikaanza kulihisi kwenye mkuyenge, na hapo hapo mkuyenge ulianza kujaa upepo ila nilijitahidi sana kupeleka mawazo mbali kidogo ili nisije leta fedheha kwenye gari.

Kumaliza tu, kama kuna mishangazi ya namna hii kwenye platform hii popote mlipo mjengewe minara yenu. [emoji119][emoji119]
!?
 
Yatakujengea wewe,famasihara nini 🤣
 
kuna lishangazi aiseee nilipigaa japo kwa kubaniwaa sanaaa...na halikukubali bila ndom hadi leo nalitamani ila lisumbufu mme wake nongwa.
 
Inaonekana ulilipa show ya kibabe mkuu, nenda kapate rematch [emoji16][emoji16]
 
Leo asubuhi nilikuwa na safari fupi kutoka Kili kwenda A-Town. Nilipofika stendi niliingia kwenye coaster ambayo ilikuwa imeshajaza abiria tayari.

Hivyo konda akachombeza kimtindo hapo nikakaa katikati mwa seat ambapo huwa kuna ka-seat kadogo ivi. Basi chuma akapiga mafuta kituo hadi kituo watu wakawa wanapungua.

Basi baadae ivi watu wakawa wamebaki kidogo kwenye ile seat niliyokuwa nimekaa nikasogea upande ambao kuna lishangazi jeupe hivi lilikuwa limevalia kasketi kafupi ivi keusi vile vinavyobana mwili fresh kabisa.

Kwa umbo lake lishangazi lilikuwa na nyama ivi za wastani ila zimekaa fresh kinoma na mahips ya kiuchokozi kabisa mtu wangu.

Basi mwanaume nikakaa nikatulia kimtindo, sasa kwa sababu ya zile hips zake na minyamanyama ile alooh paja lake la mguu wa kushoto likabanana la langu la mguu wa kulia kuanzia muda ule hadi liliposhuka kituo cha Philips karibu na jengo jipya la PAPU.

Wakuu kusema ukweli lile joto lililokuwa linatoka kwenye paja la hilo lishangazi kuingia kwenye paja langu nilihisi raha moja hiyo hatari sana kwa muda wote huo nikiwa nimekaa tuli.

Baadae ivi kadri tulivyokuwa tunaenda lishangazi lilianza kusinzia wakuu na kichwa chake kuanza kuyumba na kuanza kukosakosa kugonga kioo cha dirisha.

Kuna muda lile joto namna lilivyokuwa linapita kwenye paja langu lilisambaa hadi nikaanza kulihisi kwenye mkuyenge, na hapo hapo mkuyenge ulianza kujaa upepo ila nilijitahidi sana kupeleka mawazo mbali kidogo ili nisije leta fedheha kwenye gari.

Kumaliza tu, kama kuna mishangazi ya namna hii kwenye platform hii popote mlipo mjengewe minara yenu. [emoji119][emoji119]
Ulipata namba yake?
 
Na hukuchua namba ya simu wala kusema nae. Vijana wa hovyo kabisa 😂😂😂
 
Back
Top Bottom