Wakuu kuna mishangazi ina joto, asikwambie mtu

Da yaani wewe jamaa wewe..hakika umenihizunisha hapo mwisho wa story yako..hivi kweli wanaume ndio tulikubalina hivyo kweli ukikutana na toto ulilolielewa?yaani joto la mguso tu na wewe ukaona fresh na ukaridhika?no muendelezo..aisee
[emoji16][emoji16][emoji16] mkuu principles za maisha kuzingatia ni muhimu pia.
 
Joto la binadamu ni 37 centigrade,likizidi au kupungua basi huyo mtu anaumwa🤔. Umepima joto la mishangazi ukakuta limezidi kwa centigrade ngapi?
 
Mkuu acha tu, mimi nimetoa shuhuda hapa ila kuna baadhi ya wadau wananishushia matusi utadhani wao hawana hisia ni maroboti.
 
Vijana kama nyie mna mchango mdogo katika maendeleo ya taifa letu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…