Wakuu kuna mtu anatizama FNL EATV? Stereo na Chemical live

Haahahahaa
 
Jamaa, dem, chemical, sterio, sam....emh andikeni vizuri na mimi nielewe nini kimetokea.
 
Haya sasa..tusubiri wimbo wao..

Wasanii wa Tanzania wameshajua jinsi ya kuwavuruga watanzania..
 
hiyo ni moja ya burudani stereo alikuwa kwenye joke..
 
MwAnAume wa dar anaumbuka huku.... Kifupi ni kwamba Chemical kamzidi akili huyu mwanaume wa dar kwa mbaali sana..
Vijana wa mikoani bwana! Mko bize kuangalia shinawadu.Wanaume wa Dar tunaangalia mpira hivi sasa acha umbea.
 
Huyu duuuu yupo smart, demu anae chana na nyimbo kupendwa muheshimu plus alipiga depo kidogo
 
Hip hop haif hvo mkuu, ata wakina pack na other walikuwa na feelings zikawafanya kuandika hits

2pac - me n my gf
But they never to media like that.. Especially when you know someone is pretending
 
But they never to media like that.. Especially when you know someone is pretending
Love ni game, kila mtu anajinsi ya kuplay... Others wanaplay like illegal business chini na nyuma ya camera wengine wana play kama movie watu waone
 
Huyu Girl yupo vizuri , ila kitu kimoja, kila mtu akikutan na crush wake anakuwa mjinga.


Unaweza kuta demu anaheshimika bt anapelekeshwa kama mpira tu
Poa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…