Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HaahahahaaJamaa mshamba tu dem nimempenda bure na anabaati Sam ndio alikuwa anaokoa jahazi kwa kumtuliza binti mapenzi gani ya kishamba kwenda kuanikana kwenye media yaani jamaa kaleta adi t-shirt ili wavae sale na dem kajipigisha adi magoti yaani kajialibia kabisa kumbe sikujua kama chemical ni kichwa hivi alafu Misago akawa kama mshenga
hiyo ni moja ya burudani stereo alikuwa kwenye joke..Jamaa mshamba tu dem nimempenda bure na anabaati Sam ndio alikuwa anaokoa hahazi kwa kumtuliza binti mapenzi gani ya kishamba kwenda kuanikana kwenye media yaani jamaa kaleta adi t-shirt ili wavae sale na dem kajipigisha adi magoti yaani kajialibia kabisa kumbe sikujua kama chemical ni kichwa hivi
Vijana wa mikoani bwana! Mko bize kuangalia shinawadu.Wanaume wa Dar tunaangalia mpira hivi sasa acha umbea.MwAnAume wa dar anaumbuka huku.... Kifupi ni kwamba Chemical kamzidi akili huyu mwanaume wa dar kwa mbaali sana..
Hip hop haif hvo mkuu, ata wakina pack na other walikuwa na feelings zikawafanya kuandika hitsHahaaa.... Haooo.. Stereo kapiga goti kabisa...
Damn... Hip hop is dead.
Huyu duuuu yupo smart, demu anae chana na nyimbo kupendwa muheshimu plus alipiga depo kidogoJamaa mshamba tu dem nimempenda bure na anabaati Sam ndio alikuwa anaokoa hahazi kwa kumtuliza binti mapenzi gani ya kishamba kwenda kuanikana kwenye media yaani jamaa kaleta adi t-shirt ili wavae sale na dem kajipigisha adi magoti yaani kajialibia kabisa kumbe sikujua kama chemical ni kichwa hivi
Huyu Girl yupo vizuri , ila kitu kimoja, kila mtu akikutan na crush wake anakuwa mjinga.Kabisa mkuu.... Na kwa akili ya Chemical nilivyomsoma leo... Anahitaji a real man. Na sio hao walamba lips wa mbez beach..
Love ni game, kila mtu anajinsi ya kuplay... Others wanaplay like illegal business chini na nyuma ya camera wengine wana play kama movie watu waoneBut they never to media like that.. Especially when you know someone is pretending
Hamna jamaa alikuwa siliaz kabisa dem angemwambia kunya hapa nahisi kwa hali Ile jamaa angekunyahiyo ni moja ya burudani stereo alikuwa kwenye joke..