lala kesho uwahi shambani......Jamaa, dem, chemical, sterio, sam....emh andikeni vizuri na mimi nielewe nini kimetokea.
Tutaendelea kula chips nyie endeleeni kula michembe na udaga lakini mwisho wa siku mademu zenu hatutumii nguvu nyingi kuwatongoza wenyewe wanajileta na game tunazopiga hawarudi ng'o huko mikoani. Achana na hao wakina sijui chemist na sterero wanaoigiza ili wapate kick alafu nyie mnawaangalia kwa umakini.Hahaaa.... Endeleeeni hvyohvyo kuangalia mpira na kula kiepe. Tutawapigia madem zenu...
Huyo huyoStereo ni nani?au yule lunduno?
Hiyo nyimbo Pac hakumaanisha mwanamke MkuuHip hop haif hvo mkuu, ata wakina pack na other walikuwa na feelings zikawafanya kuandika hits
2pac - me n my gf
Ni msanii maarufu wa kurap yupo ukongaHuyo stereo ndo nani?nipo chato mpakani na biharamuro nataka kumjua ni mbunge au Dc?
Demu yupi hapo?Itizameni hiyo picha... Muoneni binti huyo alivyo serious
Wasalimie hapo Kasindaga au KyamuyoraHuyo stereo ndo nani?nipo chato mpakani na biharamuro nataka kumjua ni mbunge au Dc?
....mang'ombe ndivyo mlivyo,matawi msiyoweza kufika mnajitia kudiss kujifariji!...ona pigo zako,kujifanya nawe 'mnyamwezi' na yai lako viza!Wewe ndio stereo...!?? If u r then nakuchana live..
Stop behaving childish. Be a MEN.
Afadhali nimemjua mbona huyo men anatongoza kikauzu sana vp jamaa alikubaliwa kweliAliopiga goti Mkuu...
Pia ni kwaya master kanisa la Roman pale Ukonga, ila kwa hili mi siamini kama ni kweli nadhani ni kiki tu wamepanga ingawa mtu kama Stereo kufanya stunt za namna hii anajipunguzia heshimaNi msanii maarufu wa kurap yupo ukonga
Tuyaache yote,hivi mkuu uko kambi gani nkuletee ya soda.Love ni game, kila mtu anajinsi ya kuplay... Others wanaplay like illegal business chini na nyuma ya camera wengine wana play kama movie watu waone