Wakuu kuna mtu anatizama FNL EATV? Stereo na Chemical live

Wakuu kuna mtu anatizama FNL EATV? Stereo na Chemical live

Hahaaa.... Endeleeeni hvyohvyo kuangalia mpira na kula kiepe. Tutawapigia madem zenu...
Tutaendelea kula chips nyie endeleeni kula michembe na udaga lakini mwisho wa siku mademu zenu hatutumii nguvu nyingi kuwatongoza wenyewe wanajileta na game tunazopiga hawarudi ng'o huko mikoani. Achana na hao wakina sijui chemist na sterero wanaoigiza ili wapate kick alafu nyie mnawaangalia kwa umakini.
 
Hamna lolote hao...hizo kick tu...tena FNL ndio wanaongoza kwa kutengeneza kick...kumbuka walimleta Nisha akaongea live eti ana mimba kumbe ilikuwa feki story
Kama ni kiki basi huyu dogo stereo ni fake mnoo...
 
Wewe ndio stereo...!?? If u r then nakuchana live..
Stop behaving childish. Be a MEN.
....mang'ombe ndivyo mlivyo,matawi msiyoweza kufika mnajitia kudiss kujifariji!...ona pigo zako,kujifanya nawe 'mnyamwezi' na yai lako viza!
...teh hee hee
 
Ni msanii maarufu wa kurap yupo ukonga
Pia ni kwaya master kanisa la Roman pale Ukonga, ila kwa hili mi siamini kama ni kweli nadhani ni kiki tu wamepanga ingawa mtu kama Stereo kufanya stunt za namna hii anajipunguzia heshima
 
Back
Top Bottom