[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Acha kumtisha mwenzio pesa ya kazi ganiWewe weka pesa mezani mwenyewe atatoka kama nyoka pangoni!
Hivi vimaneno nakupenda nakuzimia wameshaambiwa sana mtaani.
Huyo atakua hajala elfu 10 ya nini sasa?Mimi kama dakika 20 zilizopita napita mtaani kwetu dada mmoja kaniita kwenye grocery moja akaninong'oneza una elfu kumi hapo tukatomb...ne, mkuu dunia hii ya Leo ni mwendo kasi.
Ndo mana nawaogopaga sana nyi viumbe...ni wakatili sana mkiamua
Mbona alikuwa anakunywa bia,labda kalewa.Huyo atakua hajala elfu 10 ya nini sasa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu umempenda mzigua alafu unazuga eti msitongozane
Usinunue mwanamke mwaya. Mpe kwa sababu unampenda sio umshawishi akupende. Mapenzi ya hivyo pesa ikikata na lenyewe linakataMimi sijamwambia nampenda, nime share na wadau tu. Halafu pia mie sio mtu mwenye pesa za kuweka mezani ili nimpate mwanamke
Mwaka 2022 utakua mume. Kuwa shemeji kwa muda sio mbayaDaaaa siamini Mzigua90 unakua shemeji hvi hivi....
Behaviourist mzee baba mtoto anaondoka mbele ya macho yetu hivi hivi[emoji23][emoji23]
Mitaa ya jf hujamaliza kwanza [emoji23]Mkuu nielekeze mitaa yenu nije kutembea tembea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora hata wewe umejiripua kuongea! !!!
Wengine tunaishia kuangalia tu Avatar tu.
Wapo kama 3 hivi yaani hata kama sifahamu wanafananaje ila nawamezea mate tu.
Asante kwa kunizidoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Acha kumtisha mwenzio pesa ya kazi gani
Asante mkuu kwa kunipenda na tusitongozane
Asante mkuu kwa kunipenda na tusitongozane
Nyota imeniwakia naona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sijaambiwa napendwa siku nyingi kweliKumbe ni weye!? Una bahati au kizizi cha kupendwa weye!
Lol..wavulana wanaomiliki coins ndio hua na makelele ila wanaume wanaomiliki fedha hua wanarelax tuu na pm zinafulika...
Nimefika ndugu yangu..Ndg yangu ebu fanya ukuje huku
Mbona alikuwa anakunywa bia,labda kalewa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asante kwa kunizidoa [emoji23]
Eeeh.. nimtumie rafiki yangu mieeRafiki wa faidaaa
Eeeh.. nimtumie rafiki yangu miee