Wakuu kuna site yoyote ya free ya AI inayogeuza still picture kuwa AI video

Haiitaji malipo
Kitu kikiwa offline ni chako either ulipe one time ama upate bure.

Mfano hii open Sora.

Kugenerate video ya sekunde 5 kwa HD gpu yenye Vram 60GB inatumia dakika 27.

So upo tayari kutoa milioni kadhaa Kugenerate video zako offline ama utatumia hizo za online angalia mwenyewe.
 
Dah sio mchezo 🙌 sec 5 kwa dkk 27 😂 ndo mana kuna moja hy niliona imetulia tuu nkaachana nayo
 
Tena kwa GPU yenye Vram 60GB ina maana hizi Gpu zetu za kawaida za GB6-12 utahitaji GPU 5-10 kuweza ku generate hio sekunde 5 kwa dakika 27
 
Kitu kikiwa offline ni chako either ulipe one time ama upate bure.

Mfano hii open Sora.

Kugenerate video ya sekunde 5 kwa HD gpu yenye Vram 60GB inatumia dakika 27.

So upo tayari kutoa milioni kadhaa Kugenerate video zako offline ama utatumia hizo za online angalia mwenyewe.
Kumbe iko vizuri isipokuwa tu haina sehemu ya kuweka maneno ya kugenerate video inqyotokana na picha uliyoiupload badala yake unapaswa kuchagua sample
 
Back
Top Bottom